60% ya wakazi wa Dar ni wezi, hawana kazi za kueleweka na wazururaji

Kibaya zaidi hawanaga msaada, unaweza kukuta wanashangaa majeruhi lkn hawatoi msaada.
Ni asilimia 80 hawana kazi
 
[emoji23][emoji23]! Mjini shule offsaa kuishi inataka akili mingi... Ibada Muhim
 
Sawa wanaume wa dar sahvi ndy tunawaletea mipango huko mikoani
Bila sisi nyie hamjui kitu

Ova
 
Mkkoani vijana wengi wanalima, usipomkuta analima labda ni bodaboda.

Wizi wa simu mikoan n asilimia ndogo ukikompea na Dar. Dar hata ukiwa msibani ukikaa vibaya wanApita nayo
Vijana wengi wa Dar ni madalali. Mtoa mada amesema ukweli kubali kataa
kweli kabisa
 
Ila kuna watu wanazurura na maisha yao fresh tu
 
Ila kuna watu wanazurura na maisha yao fresh tu
Hivi unajua maana ya kuzurura mkuu?

wanaume wa Dar ukiwasikiliza kwa makini sana utajua wazi kwenye kujenga hoja wanashindwa na wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…