60% ya wakazi wa Dar ni wezi, hawana kazi za kueleweka na wazururaji

60% ya wakazi wa Dar ni wezi, hawana kazi za kueleweka na wazururaji

Na huo ndio ukweli.

60% Ya watu wanaoishi Dar (watu wazima tu ukitoa watoto)

Hawana kazi za kueleweka, kazi za kuwaweka busy masaa 10 kwa siku, ndio maana tukio likitokea mtaani ghafla unakuta watu wanajaa ghafla wengi sana na wanakaa hata saa nzima wakishangaa na kupiga umbea

Hayo hayo makundi ya watu wana asili ya ukibaka. Kuibiana hovyo vitu kama simu. Yani Dar haina Kibaka maalum asikudanganye mtu. Hata huko maofisini waliko busy ukikaa vibaya unaibiwa simu, wallet ama Pc tena hadi wanawake wanaiba mbele ya CCTV.

Dar huko zaidi ya 70% ya wanawake wanawake wanajiuza. Amini usiamini, wapo wale wanaojiuza usiku, na wapo wale ambao ukisema hela tu anaacha fugo jikoni unamlambia Bafuni tu kimoja cha nguvu!😅😅😅

Dar usipokuwa makini utarudishwa mkoani ukiwa mweupe kabisa mfukoni kitu.
Kibaya zaidi hawanaga msaada, unaweza kukuta wanashangaa majeruhi lkn hawatoi msaada.
Ni asilimia 80 hawana kazi
 
[emoji23][emoji23]! Mjini shule offsaa kuishi inataka akili mingi... Ibada Muhim
 
Sawa wanaume wa dar sahvi ndy tunawaletea mipango huko mikoani
Bila sisi nyie hamjui kitu

Ova
 
Mkkoani vijana wengi wanalima, usipomkuta analima labda ni bodaboda.

Wizi wa simu mikoan n asilimia ndogo ukikompea na Dar. Dar hata ukiwa msibani ukikaa vibaya wanApita nayo
Vijana wengi wa Dar ni madalali. Mtoa mada amesema ukweli kubali kataa
kweli kabisa
 
Ila kuna watu wanazurura na maisha yao fresh tu
 
Ila kuna watu wanazurura na maisha yao fresh tu
Hivi unajua maana ya kuzurura mkuu?

wanaume wa Dar ukiwasikiliza kwa makini sana utajua wazi kwenye kujenga hoja wanashindwa na wanawake.
 
Back
Top Bottom