RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Toka kwenye box hilo nyumbu wewe.Ona huyu kenge.le anatoa povu tu hoja hana
kaendelee kumshangilia mayele huko muda wa kutafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka kwenye box hilo nyumbu wewe.Ona huyu kenge.le anatoa povu tu hoja hana
kaendelee kumshangilia mayele huko muda wa kutafuta
Kibaya zaidi hawanaga msaada, unaweza kukuta wanashangaa majeruhi lkn hawatoi msaada.Na huo ndio ukweli.
60% Ya watu wanaoishi Dar (watu wazima tu ukitoa watoto)
Hawana kazi za kueleweka, kazi za kuwaweka busy masaa 10 kwa siku, ndio maana tukio likitokea mtaani ghafla unakuta watu wanajaa ghafla wengi sana na wanakaa hata saa nzima wakishangaa na kupiga umbea
Hayo hayo makundi ya watu wana asili ya ukibaka. Kuibiana hovyo vitu kama simu. Yani Dar haina Kibaka maalum asikudanganye mtu. Hata huko maofisini waliko busy ukikaa vibaya unaibiwa simu, wallet ama Pc tena hadi wanawake wanaiba mbele ya CCTV.
Dar huko zaidi ya 70% ya wanawake wanawake wanajiuza. Amini usiamini, wapo wale wanaojiuza usiku, na wapo wale ambao ukisema hela tu anaacha fugo jikoni unamlambia Bafuni tu kimoja cha nguvu!😅😅😅
Dar usipokuwa makini utarudishwa mkoani ukiwa mweupe kabisa mfukoni kitu.
Unaimba taarabu au?[emoji23][emoji23]! Mjini shule offsaa kuishi inataka akili mingi... Ibada Muhim
kweli kabisaMkkoani vijana wengi wanalima, usipomkuta analima labda ni bodaboda.
Wizi wa simu mikoan n asilimia ndogo ukikompea na Dar. Dar hata ukiwa msibani ukikaa vibaya wanApita nayo
Vijana wengi wa Dar ni madalali. Mtoa mada amesema ukweli kubali kataa
Hivi unajua maana ya kuzurura mkuu?Ila kuna watu wanazurura na maisha yao fresh tu