60% ya wakazi wa Dar ni wezi, hawana kazi za kueleweka na wazururaji

60% ya wakazi wa Dar ni wezi, hawana kazi za kueleweka na wazururaji

Hayo maneno alishaniambia sheh mmoja ndo maana unaona watu wanajazana kwa vitu vya kipuuzi tu.
 
Si urudi tu, ukunywe kimorali ukondeane[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie watu wa Dar mko na shida gani lakini? [emoji2]
Naomba nije hata wiki tu.. nishuhudie hizo kero za mleta mada[emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie watu wa Dar mko na shida gani lakini? [emoji2]
Naomba nije hata wiki tu.. nishuhudie hizo kero za mleta mada[emoji2]
Mnahitaji maombi🤣🤣🤣🤣
 
Kwa mujibu wa utafiti wako,naomba unijibu maswali yafuatayo:
(1) Nitajie mkoa mmoja tu hapa Tanzania ambao hakuna uwizi wa simu
(2)Nitajie mkoa ambao 100% ya wakqzi wote wana ajira.
(3) Nitajie mkoa ambao tukio likitokea wananchi wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.
 
Mkkoani vijana wengi wanalima, usipomkuta analima labda ni bodaboda.

Wizi wa simu mikoan n asilimia ndogo ukikompea na Dar. Dar hata ukiwa msibani ukikaa vibaya wanApita nayo
Vijana wengi wa Dar ni madalali. Mtoa mada amesema ukweli kubali kataa
 
Sio dar tu, japo pamezidi. Hakuna sababu ya kuingia gharama kufanya utafiti kujua kiwango cha wasio na kazi Tanzania. Tukio lolote linalovuta watu na wakalishiriki kwa muda mrefu eg mapokezi ya team ya mpira, elewa wote hawana la kufanya.
Unakuta Grader liko linasambaza kifusi road na watu wamejaa,unajiuliza Hawa watu wanashangaa Nini Sasa?
 
Na hao hao ndo wezi pia...Dar ovyo sana

Unaweza ukawa unamheshimu mtu unamuona wa maana kumbe buure tu, jizi[emoji28][emoji28]
Msisahau pia [emoji116][emoji116]
JamiiForums2127175075.jpg
 
Wajomba na mashangazi wa dar huwa wanazingua sana, upo zako home unasikia wewe mjomba wako wa dar anasema ukimaliza shule tu anakuja kuchukua, Mara mjomba wako anasema hivi yani unapewa story za mjomba unatamani umalize shule kesho uende dar,

Nguvu zinaisha na matumaini yanapotea pale yule mjomba wa dar uliyemsikia tangu unazaliwa mpaka umehitimu kidato cha nne unamsikia ujawahi kumuona ana miaka zaidi ya ishirini tangu aondoke kijijini ajarudi siku kaja dah mjomba kachoka, anafika anavaa mashati ya shemeji yake, Mara kapita na yebo yebo zako , mizinga kibao, kutwa yani mjomba ukija dar utapenda kule maisha simple ila ukimwagilia kachoka balaa

Ukimuuliza kwani mjomba unaishi maeneo gani hapo ndio unachoka ooh Nilikuwa manzese, nikahama nikahamia ilala nikaa kidogo nikahama nikahamia tabata uko naoo uchawi nikahama nikaenda gongo la mboto badae basi nikamua nitoke nje ya mji kidogo naishi mlandizi wa Sasa Kuna bwana mmoja kaenda nje ya nchi kaniachia nyumba niangalie
MJOMBA WA DAR NAWASALIM
 
Yote ni ugumu wa maisha,kwenye kujiuza hapo uko sawa kabisa
 
Imagine hiyo ya kuwahiwa siti[emoji2][emoji2]
Huko Sokoni mbali na kupewa Buti.. ukitoka umechafuka matope kuna watu nje na majaba ya maji wanakuosha..[emoji16]
sehemu yenye kidimbwi wakati wa mvua vijana wanaweka mawe ya kukanyaga watu wavuke ,unatozwa sh 100 kama hutaki kutoa kanyaga maji siyo mawe yao
 
Unakuta Grader liko linasambaza kifusi road na watu wamejaa,unajiuliza Hawa watu wanashangaa Nini Sasa?
fumanizi likitokea watu watajazana waangalie tukio ,siku inakuwa imepita hiyo.
 
sehemu yenye kidimbwi wakati wa mvua vijana wanaweka mawe ya kukanyaga watu wavuke ,unatozwa sh 100 kama hutaki kutoa kanyaga maji siyo mawe yao
Dar kila kitu ni fursa...
 
Back
Top Bottom