Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si urudi tu, ukunywe kimorali ukondeane[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnahitaji maombi🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie watu wa Dar mko na shida gani lakini? [emoji2]
Naomba nije hata wiki tu.. nishuhudie hizo kero za mleta mada[emoji2]
Mkkoani vijana wengi wanalima, usipomkuta analima labda ni bodaboda.Kwa mujibu wa utafiti wako,naomba unijibu maswali yafuatayo:
(1) Nitajie mkoa mmoja tu hapa Tanzania ambao hakuna uwizi wa simu
(2)Nitajie mkoa ambao 100% ya wakqzi wote wana ajira.
(3) Nitajie mkoa ambao tukio likitokea wananchi wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.
Unakuta Grader liko linasambaza kifusi road na watu wamejaa,unajiuliza Hawa watu wanashangaa Nini Sasa?Sio dar tu, japo pamezidi. Hakuna sababu ya kuingia gharama kufanya utafiti kujua kiwango cha wasio na kazi Tanzania. Tukio lolote linalovuta watu na wakalishiriki kwa muda mrefu eg mapokezi ya team ya mpira, elewa wote hawana la kufanya.
[emoji1][emoji1][emoji1] AiseeOna huyu kenge.le anatoa povu tu hoja hana
kaendelee kumshangilia mayele huko muda wa kutafuta
Msisahau pia [emoji116][emoji116]Na hao hao ndo wezi pia...Dar ovyo sana
Unaweza ukawa unamheshimu mtu unamuona wa maana kumbe buure tu, jizi[emoji28][emoji28]
Hao ni Akina Get rich🏃🏃🤣🤣🤣nimecheka kwa sauti
Kwa sauti ya Kingwendu! ... bhebhe nang'hoo! 😅Ushakaribishwa mjini eeeh? kaa kwa kutulia hapa ndio town
Bahari!Dar kuna harufu flani hivi huwa ni ya nini?
sehemu yenye kidimbwi wakati wa mvua vijana wanaweka mawe ya kukanyaga watu wavuke ,unatozwa sh 100 kama hutaki kutoa kanyaga maji siyo mawe yaoImagine hiyo ya kuwahiwa siti[emoji2][emoji2]
Huko Sokoni mbali na kupewa Buti.. ukitoka umechafuka matope kuna watu nje na majaba ya maji wanakuosha..[emoji16]
fumanizi likitokea watu watajazana waangalie tukio ,siku inakuwa imepita hiyo.Unakuta Grader liko linasambaza kifusi road na watu wamejaa,unajiuliza Hawa watu wanashangaa Nini Sasa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnahitaji maombi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dar kila kitu ni fursa...sehemu yenye kidimbwi wakati wa mvua vijana wanaweka mawe ya kukanyaga watu wavuke ,unatozwa sh 100 kama hutaki kutoa kanyaga maji siyo mawe yao