750k(take home) ni mshahara unaweza kumfanya mtu aishi kidogo bila wasi hapa Bongo?

750k(take home) ni mshahara unaweza kumfanya mtu aishi kidogo bila wasi hapa Bongo?

Wakuu nilikuwa nauliza tu kama 750k ni takehome inayoweza kumfanya mtu aishi kidogo standard life.

Maana isikute nadharau kumbe naweza kufanya kitu.
Unatosha kabisaa tena mipango unazuka kabisaa

Mimi nililipwa laki sita take home niliishi vizuri Sana kama upo Mbeya au mikoa ya Singda na nyanda za juu kusini

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Inafikirisha!

Nilidhani wenye kipato cha kuanzia 1.5m cash ni watu wasio na mida kabisa na mitaa hii!
JamiiForums ni mtandao wa kijamii ina jamii zote wapo wenye zaidi ya 1 billion hapa. Angalia kama kule tweeter Elon musk anavyo comment, kabla hajawa CEO wa tweeter mpaka amekuwa na bado yupo vilevile. Hela isimfanye mtu kujitenga na jamii wakati jamii ndio imemfanya kupata hela hiyo.
 
Inafikirisha!

Nilidhani wenye kipato cha kuanzia 1.5m cash ni watu wasio na mida kabisa na mitaa hii!
Mkuu humu kuna mafogo hatari.

Uzuri wa humu muosha magari anamtukana boss wake, muuza vitunguu sokoni anavimba kuwa anafanya kazi UN Geneva.

Uamuzi ni wako uwe nani humu.

#fakeituntillyoumakeit#
 
Back
Top Bottom