750k(take home) ni mshahara unaweza kumfanya mtu aishi kidogo bila wasi hapa Bongo?

750k(take home) ni mshahara unaweza kumfanya mtu aishi kidogo bila wasi hapa Bongo?

Hii ni level ya maisha, kama unaspend 1.5M kwa mwezi maana yake income yako haipungui 4M kwa mwezi.

Hongera sana wewe ni miongoni mwa watu wenye kazi mjini. Sisi wenye vibarua acha tukomae maana me natumia 10% ya unachotumia wewe kwa mwezi.
Ya kweli haya Extrovert? Nadhani wewe una make zaidi ya hiyo 1.5m kwa mwezi. Siajabu hiyo ni income ya wiki tu kwako.
 
Unatosha kbsaa tena mipango unazuka kbsaa

Mm nililipwa laki sita take home niliishi vzr San kama upo Mbeya au mikoa ya Singda na nyanda za juu kusini

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa nyanda za juu upo sahihi mkuu ila kwa Singida hapana aisee maisha ya Singida ni shida kuna Tatizo kubwa la maji na chakula na ukame ni mkubwa sana kule, nimeishi Singida miaka mingi sana.

Mambo ya kula ugali wa mtama, mihogo na viazi vitamu kila siku yaliboa sana, kitu ambacho ahueni Singida ni mifugo kama mbuzi na kuku bei yake ni ndogo sana lakini kwa maisha ya kawaida Singida ni gharama.
 
Kwa nyanda za juu upo sahihi mkuu ila kwa Singida hapana aisee maisha ya Singida ni shida kuna Tatizo kubwa la maji na chakula na ukame ni mkubwa sana kule ,nimeishi Singida miaka mingi sana ,mambo ya kula ugali wa mtama,mihogo na viaz vitamu kila siku yaliboa sana,kitu ambacho ahueni Singida ni mifugo kama mbuzi na kuku bei yake n ndogo sana lakini kwa maisha ya kawaida Singida ni gharama

Kama kuku na mbuzi bei rahisi, then maisha ya Singida ni mepeso
 
Mkuu humu kuna mafogo hatari.
Uzuri wa humu muosha magari anamtukana boss wake, muuza vitunguu sokoni anavimba kuwa anafanya kazi UN Geneva.
Uamuzi ni wako uwe nani humu...
#fakeituntillyoumakeit#
Kabisa mkuu. Kuna mdada humu japo sio mtu wa kucomment na kuchangia sana ila ukisoma comment zake unaweza kuhisi ni jobless anayetafuta kazi kumbe ni meneja mradi wa NGO moja ya kimataifa inayofanya kazi hapa TZ, na kala shavu kufanya kazi kwenye NGO nyingine kubwa zaidi kuanzia february nje ya TZ lakini hapa hapa Afrika.
Mshahara wake umeshiba karibia na wa mbunge lakini ukimkuta humu huwezi kufikiria.
Humu kuna watu wa kada mbalimbali lakini sote tunajimwambafy.
Wewe dada ukipita hapa nakusalimu kwa herufi kubwa.
 
Back
Top Bottom