750k(take home) ni mshahara unaweza kumfanya mtu aishi kidogo bila wasi hapa Bongo?

750k(take home) ni mshahara unaweza kumfanya mtu aishi kidogo bila wasi hapa Bongo?

Mkuu humu kuna mafogo hatari.
Uzuri wa humu muosha magari anamtukana boss wake, muuza vitunguu sokoni anavimba kuwa anafanya kazi UN Geneva.
[emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji3577][emoji3577][emoji3577] kabisaaa yaani Kuna madon humu balaaa
Kuna mmoja namjua daaahhh...mwamba shikamooo zako nyingi mnooo...gari mbaya Noah zotee Kali[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mleta mada kumbuka mipango sio matumizi. Na mungu ndio hupanga. 750 sio hela ndogo kama utajiheshimu ila kama unaleta ujuaji kwenye mambo usioweza ndugu hutakaa uone maendeleo yako hata ukilipwa 5m
 
Halafu unakuta hana makeke hawezi kusimanga ambao hawana magari.
Ila ngoja ukutane na hawa wanaomiliki alteza sijui subaru used tena za bongo mamaeeee kipindi cha mvua wanaturushia maji watembea kwa miguu.

[emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji3577][emoji3577][emoji3577] kabisaaa yaani Kuna madon humu balaaa
Kuna mmoja namjua daaahhh...mwamba shikamooo zako nyingi mnooo...gari mbaya Noah zotee Kali[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wakuu nilikuwa nauliza tu kama 750k ni takehome inayoweza kumfanya mtu aishi kidogo standard life.

Maana isikute nadharau kumbe naweza kufanya kitu.
Inatosha sana ukiishi kwa akili na kiba unaweka. Elewa kuwa hakuna pesa nyingi duniani. Kuna mtu anachukua 1.5m kwa mwezi lakini haitoshi, ukubwa wa mshahara ni namna utakavyoamua kupanga bajeti zako.
 
Nina ndugu yangu anakuambia alikuwa anatumia elfu tano kwa siku na inatosha yeye na wanae wawili.
Lakini sasa hivi anakuambia kwa siku anashangaa imekatika 40,000 au 30,000.
Million moja na point haimtoshi kwa mwezi.
Pesa mwanaharamu sana.
 
Mkuu nikiandika ukweli hapa nitaonekana najisifu lakini ukweli hio 1.5 nusu mwezi labda.
Hii ni level ya maisha, kama unaspend 1.5M kwa mwezi maana yake income yako haipungui 4M kwa mwezi.

Hongera sana wewe ni miongoni mwa watu wenye kazi mjini. Sisi wenye vibarua acha tukomae maana me natumia 10% ya unachotumia wewe kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom