Kidawa_hiphop
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 184
- 274
Niungishe na Mimi hio dili. PMWakuu nilikuwa nauliza tu kama 750k ni takehome inayoweza kumfanya mtu aishi kidogo standard life.
Maana isikute nadharau kumbe naweza kufanya kitu.
Unatosha kabisaa tena mipango unazuka kabisaaWakuu nilikuwa nauliza tu kama 750k ni takehome inayoweza kumfanya mtu aishi kidogo standard life.
Maana isikute nadharau kumbe naweza kufanya kitu.
Aiseee maisha kweli yanataka tafakari, yaani mimi 400,000 wiki imekwisha.Ndugu maisha ni magumu sana lakini bado yanawezekana kabisa, binafsi nalipwa 400,000 , nina familia na ninaishi dar lakini hakuna hata siku moja niliwahi kulala njaa.
Hiyo ni basic salary ya mwalimu wa digrii[emoji2]Wakuu nilikuwa nauliza tu kama 750k ni takehome inayoweza kumfanya mtu aishi kidogo standard life.
Maana isikute nadharau kumbe naweza kufanya kitu.
hapo take home si 400k tu hivi?..aiseeHiyo ni basic salary ya mwalimu wa digrii[emoji2]
Hapo hajakatwa kodi, bima, nssf nk
Kwahiyo net spend yako kwa mwezi ni zaidi ya 1.5m?Aiseee maisha kweli yanataka tafakari, yaani mimi 400,000 wiki imekwisha.
Kweli lakini kuna kiasi fulani mtu akiwa nacho ataishi kiasi bila wasiwasi kama akiweka mipango yake vizuri."Pesa haijawahi kutosha kamwe" wala sijasema mimi Chifu.
Yule jamaa wa walimu hajaona hii mada bado[emoji2]hapo take home si 400k tu hivi?..aisee
Mkuu nikiandika ukweli hapa nitaonekana najisifu lakini ukweli hio 1.5 nusu mwezi labda.Kwahiyo net spend yako kwa mwezi ni zaidi ya 1.5m?
Inafikirisha!Mkuu nikiandika ukweli hapa nitaonekana najisifu lakini ukweli hio 1.5 nusu mwezi labda.
JamiiForums ni mtandao wa kijamii ina jamii zote wapo wenye zaidi ya 1 billion hapa. Angalia kama kule tweeter Elon musk anavyo comment, kabla hajawa CEO wa tweeter mpaka amekuwa na bado yupo vilevile. Hela isimfanye mtu kujitenga na jamii wakati jamii ndio imemfanya kupata hela hiyo.Inafikirisha!
Nilidhani wenye kipato cha kuanzia 1.5m cash ni watu wasio na mida kabisa na mitaa hii!
Mitaa yao ni wapi?Inafikirisha!
Nilidhani wenye kipato cha kuanzia 1.5m cash ni watu wasio na mida kabisa na mitaa hii!
Mkuu humu kuna mafogo hatari.Inafikirisha!
Nilidhani wenye kipato cha kuanzia 1.5m cash ni watu wasio na mida kabisa na mitaa hii!