8/02/2015: Yanga vs Mtibwa match preview and live coverage

8/02/2015: Yanga vs Mtibwa match preview and live coverage

Maxime anasimama kwenye benchi haamini anachokiona...
 
Muda si mrefu mikia watapotea humu. Kesho utasikia wanataka Mkutano mkuu wa club. Safari hii mkafanyie Bunju kabisa. Mjini hatutaki fujo.
 
Matokeo tafadhali, yanga hajalishwa tu miwa ya mtibwa??

Unaota?!! Mtibwa keshapelekwa gerezani huko miaka 2 wakamsaidie Bondia wao Cheka kula maharage mabovu. Mwaka 1 uliobaki wameambiwa watatupiwa wakiwa gerezani wawe samba samba na Cheka wao.
 
Naona watu wa simba wanaoishi maeneo ya mmu,jukwa la katiba,celebrity forum nk,wanazidi kupungua hapa
 
Back
Top Bottom