NAMKONG'O
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 519
- 133
Dk 62
Yanga 2 - 0 Mtibwa
Ahaaaa gooooli!i
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dk 62
Yanga 2 - 0 Mtibwa
Ngassa anafunga goli safi...anatokea pasi na kumchambua Said Mohamed kabla ya kubakia yeye na nyavu na kuujaza mpira ule kimiani
Ngasa kapewa nini leo na mkewe??
Ngasa kapewa nini leo na mkewe??
ha ha ha ha...'hawajakutana...' ila kaahidiwa watakutana leo!!
Matokeo tafadhali, yanga hajalishwa tu miwa ya mtibwa??
Matokeo tafadhali, yanga hajalishwa tu miwa ya mtibwa??
HT Yanga 51% Mtibwa 49%.
Muda si mrefu mikia watapotea humu. Kesho utasikia wanataka Mkutano mkuu wa club. Safari hii mkafanyie Bunju kabisa. Mjini hatutaki fujo.