8/02/2015: Yanga vs Mtibwa match preview and live coverage

8/02/2015: Yanga vs Mtibwa match preview and live coverage

Kifaru kapigiwa sim na Esport anadai yuko njiani iringa Km kama 60 kutoka mjin...Duuu huyu jamaa kachanganyikiwa..yuko Taifa anasema yuko iringa kashasahau kuwa anatakiwa arudi Moro.
 
Ha ha ha ha ha ha haaaaaaa Raha hii dunia jamani acheni tu, kila kitu kinaenda ulivyopanga, yaani weekend murua.
Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kusikia sala zetu. Tutakutukuza milele.

Hizi ni salamu tu jamani, mikia sasa mbona mnakimbia jukwaa? Kwani tumecheza nanyinyi au Mtibwa?
 
Back
Top Bottom