Sio pwani tu. Njoo usukumani wanawake ni pawa tila, arudi na kuni, akalete maji, apike mume ale halafu mume usiku anataka.Kule Pwani wanawake ndiyo wazalishaji wakubwa. Wanalima mihogo, mpunga na hata mahindi. Wanaume hucheza bao na kunywa kahawa.
Na kumbuka kwenye nyumba mwanamke akiwa na 1 milioni na wanaume laki tatu, basi jumla nyumba ina laki 3.Ni vita ya WWI na WWII ndiyo ilifanya wanawake wa Ulaya kuanza kupata ajira. Hasa maisha kati ya WWI na WWII wanawake walikua ni watunza nyumba na mwanaume ndiye alitoka asubuhi.
Ni wake wa wanaume wanaolipwa kima cha chini ndiyo walitafuta kazi kuusaidia mshahara wa mume wake. Mwanaume akimuacha mke wake afanye kazi ni dalili kuwa mshahara wa mume hautoshi.
Usipoombwa hela uje utujuze, kuna shida sehemu katika functioning ya ubongo wa wanawake wetuMe mke Wangu Nina mpango nimfungulie genge la kidizaini hivi auze uji vitafunwa na matunda fruit mixer.. nadhani hapo nitamuweza off course wanawake NI wazuri kwenye kutunza hela kuliko sisi...mtaji Kama laki mbili hivi utamtosha halafu namsikilizia nione anaendeleaje je bado ananiomba pesa Huku vyakula na bills nyingine naendelea kulipa Mimi..
Sky Eclat
My nadaiwa Kodi 4.5m hata sijui naipatajePrivate parts siyo tradable commodities. Hii inatakiwa iingie kwenye vichwa vya dada zetu wa kitanzania
Wanaanzaga, nikuambie kituMy nadaiwa Kodi 4.5m hata sijui naipataje
Umalaya ndo biashara kongwe duniani kuliko huo umachinga unaofanya hapo KarumeJamii haina ufahamu wa kutosha juu ya nini maana ya kumpenda mtu wa jinsia nyingine Kwa dhati ya moyo.
Hawajui kanuni na vipimo vya kumpenda mtu Kwa dhati ya moyo.
Wanawake wengi wanatanguliza tamaa mbele kwa kutaka pesa kwenye mahusiano ya kingono na hiyo haina tofauti na kufanya ukahaba na Umalaya.
Ni wazi kuwa ukahaba na Umalaya hufanyika kwa madhumuni ya kupata pesa tu bila kujali hatari zinaweza kujitokeza.
Kuna shida kubwa, hawa watu wamejawa na ubinafsi wa hali ya juuNa kumbuka kwenye nyumba mwanamke akiwa na 1 milioni na wanaume laki tatu, basi jumla nyumba ina laki 3.
[emoji39][emoji39][emoji39] tuma nambaLipia tangazo
Tena siku Hz wamesogeza huduma karibu kwenye mitandao pendwa. Fikiria hata wafukuliwa tope bongo Wana mtandao wao. Wanakupa # ya simu unamuelekeza anakuja mkavuuu. Wengi Ni vijana wa Chuo, baadhi wamepangiwa apartments na wazee wa *mlango taka * wanaenda kujiburudisha kwa nafasi.[emoji39][emoji39][emoji39] tuma namba
Mkuu sisi mabepari hatukubaliani na hoja zako dhaifu. Ukae na mtu mwenye nguvu na akili alafu umlishe, umvishe na akujazie choo tu na hana mchango wowote kama kupe tu. Siyo sawa na haikubalikiKwenye vikao vya kahawa tunajiita HEAD OF THE HOUSE
Then tunataka ku share cost.
Basi na tuwaombe mahari watoe wao.
Mwanaume sio suruali hata maandiko yanasema.
Mwanamke atazaa kwa uchungu
Mwanamme atailisha familia kwa jasho.
Watafanya nini, tumewachoka aisee.....yaani mtu unakutana naye leo hii alfajiri hii, utashangaa saa nne anakupigia simu eti anadaiwa kodi na mwenye nyumba. Yaani mademu wa kibongo kwa kweli hawanaga akili at times. Mwanamke mzuri ni yule asiyejifananisha na mgogo (kiombi), mkitoka out anajitahidi hata kukununulia bia mbili huku wewe unalipia vilivyobaki.umendika muda ambao wamelala! sasa wakiamka mweeeee
uchaguzi ni wako kama nilivyokwambia. mimi nina shemeji yako haombi hata mia mpaka nijiongeze mwenyewe at the same time nina shemeji yako ambaye ni slay type , natoboka kweli yani na wala siumiii [emoji473] .
Jiongeze Mkuu, omba omba haeshimiwiSasa huyo aso kudai hela anaonekana mjinga Yani kuna vurugu na upotoshaji mkubwa kwenye hayo mahusiano hususa kwenye jamii yetu.
Fikiria hapo huyo unayempa hela na huyo usompa patakuwa na fair?!
Na huwa wanasema kabisa “ mwanamke usipoomba hela kwa Mwanaume wako jua Kuna mwanamke mwingine atamuomba na kumpa” kumbe ni kweli nimeamini kupitia hayo maandishi yako!
Tena unaandika kabisa huyo anaeomba hela mara kwa mara nampa tena huoni shida?
Maskini huyo mwanamke ndiye sasa anakuwa kama fala tu na kutumika bure!
Maana kama ingekuwa unampenda Kwa dhati ungekuwa naye peke yake na siyo kuwa na mwingine tena?!
Nimewaelewa wanawake wanavyosema usipomuomba Mwanaume wako hela ujue atakuwa na mwanamke mwingine ambae atakuwa anamuomba na kumpa kwa sana tu.
Kwa hiyo kumbe ni bora kuendelea kuwapelekesha kwa mwendokasi kwa kuomba hizo hela tu sasa manake hela ni hela ukiipata huwezi kosa cha kufanyia hata kula seafoods platter yako nzuriiii ya kutoka Kalambezi au kutumia vyovyote vile.
🤣wazee wa *mlango taka *
SUPER WOMANAlfu uwakute kwenye siku za wanawake live sasa
Mdangaji mwenye tako ana nguvu kuliko PhD holder, only in TzTena, akiwa na taqo basi ndo mtaji.
Acha kabisa mkuuSUPER WOMAN