80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Kwa namna fulani nyinyi pia huwa mnachingia wao kua hivyo kwa sababu mmewajengea dhana ya kwamba pesa ina nguvu ili kuwapata lazima muwaonge, ili kuwa furahisha lazima muwape pesa kitu ambacho kwao kime kuwa cha mazoea na wanakiendeleza

Na ukiona mtu ana kuomba omba hela mara kwa mara ujue ana kukomoa hakuna upendo hapo labda awe mkeo utasema anataka pesa kwasababu ya kutunza familia na pia hili litakua jukumu lako kama mume.

Nashukuru kwenye hizo Asilimia sipo.
 
Mchango wetu upo, hili hatulikwepi. Ila wewe ni baraka kutoka kwa Mungu aliyoijalia jamii ya wanaume
 
Yaani wanatumia viungo vyao wewe unawaita ombaomba? Unajua ugumu wa kazi wanayoifanya wewe? You are not serious mkuu...wewe ungewaonea huruma na kusema serikali iwasadie kuondokana na hiyo kazi na sio kusema ni ombaomba as if wanapewa bure.

Pia ingependeza kama ungewazungumzia na wanaowapigisha kazi maana kwa akili zao timamu bila kulazimishwa na mtu wamependa kuwalipa ujira hao wanawake.

Na wengine ni starehe yao.
 
Wasalaam wana JF
Naomba niwasilishe utafiti wangu uchwara kuhusu hawa watu. Ni reflection ya ukweli.

Katika jitihada za serikali kupunguza umasikini na kuondoa omba omba hili kundi haliangaliwi, yaani wanawake na akina dada.

Wana njaa kali na wanajitoa muhanga kwenye front zote. Wako wanaofanya ukahaba wa wazi mabarabarani, maofisini, na mitandaoni. Na wapo wengine wanafanya hivyo indirect mpaka kwenye ndoa zao pia. Yaani, exchange ya viungo vya uzazi na pesa. Na sehemu kubwa ni wale wanaopenda slope, yaani kimjini kitonga au udangaji.

Kimsingi, siyo rahisi kuwa na meaningful relationship hapa Tanzania. Ukimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.

Pengine, sisi kwa sisi, kibongo bongo tunaweza kuhimiliana, je ni aibu gani hawa dada zetu wanalipa hili taifa kwa wageni kutoka nje ya nchi? Gold digqģers.

Tunaomba serikali iwe na mkakati wa makusudi, pengine kuanzia shule za msingi kuwapa ujasiri wanawake. Ujasiri wa kujitegemea, kuwafundisha kuona aibu kuomba na kuwa wategemezi. Kuwa mwanamke siyo kuwa handicapped na siyo justification ya kuwa omba omba. Tusiruhusu kuwa na taifa lililojaa wanawake wadangaji na omba omba.

katika muktadha huu, kama nchi za wenzetu wameweza sisi kwanini tushindwe? Nchi za wenzetu katika mabara ya ulaya na america wanawake omba omba wapo kwa idadi ndogo sana.

Ikumbukwe, hakuna omba omba anaye heshimika, hizo ndizo harsh realitiies of capitalism.

Mwenye akili na aelewe.
Kibaya zaidi siku hizi wanaumme wengi wameiga hizi tabia za kudangia wamama. Mpaka watu wanaogopa kuwa na mahusiano. Kiufupi hakuna ajira, mitaji hawana, matokeo yake ma gay wanaongezeka, sio kwa kupenda tendo, bali tamaa ya helaa.
 
Tunadhibiti leakages Mkuu
It doesnt make sense at all. Nimejikuta nawaza katika hiyo propaganda ya 'mabepari' at what point does the man decide he is now obligated to take care of his family?

Je, Mke akipata uja uzito anaendelea kujihudumia au what really goes on, mimi sijaelewa hapo.

Sky Eclat njoo Dada kwangu mie mambo yame escalate so fast nimepoteza dot zaidi ya moja mahali.
 
Yaani wanatumia viungo vyao wewe unawaita ombaomba? Unajua ugumu wa kazi wanayoifanya wewe? You are not serious mkuu...wewe ungewaonea huruma na kusema serikali iwasadie kuondokana na hiyo kazi na sio kusema ni ombaomba as if wanapewa bure.

Pia ingependeza kama ungewazungumzia na wanaowapigisha kazi maana kwa akili zao timamu bila kulazimishwa na mtu wamependa kuwalipa ujira hao wanawake.
Kodi ya serikali wanalipa? Income tax
 
hawezi kuwa serious huyu sijui alitaka huduma apewe bure, kwanza mi nadhani kuna uhaba wa makahaba Tanzania, wateja ni wengi kuliko wahudumu [emoji16]
 
It doesnt make sense at all. Nimejikuta nawaza katika hiyo propaganda ya 'mabepari' at what point does the man decide he is now obligated to take care of his family?

Je, Mke akipata uja uzito anaendelea kujihudumia au what really goes on, mimi sijaelewa hapo.

Sky Eclat njoo Dada kwangu mie mambo yame escalate so fast nimepoteza dot zaidi ya moja mahali.
Kwanza hii dhana ya man is obligated to take care of his family imetokea wapi, tuanzia hapo. Nani amesema haya maneno? umiliki upo kwa mwanaume peke yake? Mwanaume akifa situation inakuaje? Ukisema mwanaume ndiyo anayetakiwa kujali familia unafanya roles za wanafamilia wengine kuwa weak or non existent.

Inamaana wewe ni muumini wa mfumo dume. Kimsingi, familia nyingi za kiafrika tuna kwama kwa kuwa na mentality kama hizo, baba anakua dominant force anafanya even careless and wrong decisions to the detriment of his family. Kunakua hakuna accountability
 
Mkuu soma uzi vizuri, hii dhana haujaielewa
Dhana gani mzee ,au hiyo ya kusema kahaba anakuomba hela wakati ni service exchange ?,unalia kuombwa pesa na golddigger wakati unataka vizuri. Dunia nzima ina hao goldediggers aka slays [emoji160] na kuwapata unatakiwa uwe na kibunda [emoji385].

Bilsimilah mi mwenyewe nawapenda shekh ni wazuri na wamejazia yale mafurushi tunayopenda and am willing kutoa pesa kuwapata, hawa hawana huruma na hela yako na wewe usiwe na huruma na nyapu yake [emoji3516],ukitaka wa mapenzi ya kweli aka wife material wapo pia na kimsingi hata hawa lazima uhudumie japo wana kahuruma flani tu na hela yako tofauti na slay [emoji16] .ni swala la wewe na kuchagua .tafuta pesa kijana mwenzangu [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom