9 September 2026: Apple wazindua simu tatu, iPhone Duo, iPhone 18 Pro, iPhone 18 Pro Max na accessories nyingine!

Yes nafikiri pia hii ndio sababu au kwa vile Tanzania iPhone zishaonekana simu za matajiri so wauzaji wanaropoka bei wanavyojisikia,.mdogo wangu nimempa 15 kaenda ku top up,kidogo nimpige vibao..wanawake akili sijui huwa wanapeleka wapi,.nimepiga hesabu ni kama ile simu kaiuza 250k..

Now mjinga mmoja ata top up 16 pro max kwa 18 pro,na milion 2 atatoa
 
Top up ndio biashara ya kifala kuliko zote. Bora uiuze simu ulionayo. Yaani niliwahi kwenda Makumbusho enzi Nina iPhone 8 nataka 11, nilivopiga hesabu, ni kama 8 nagawa bure.
 
Simu ni Kali inayoendana na wakati

Ukiwa mdau wa bidhaa za apple na kuwa mraibu nazo, utajikuta Kila mwaka unatakiwa utenge kiasi kisichopungua 6,000,000 kuweza kupata simu mpya za Kila toleo

Hiko kiasi utaweza kukifikia iwapo utakuwa na uwezo wa kutunza shilingi 500,000 tu kwa mwezi ambazo ni sawa na shilingi 16,700 Kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…