9 September 2026: Apple wazindua simu tatu, iPhone Duo, iPhone 18 Pro, iPhone 18 Pro Max na accessories nyingine!

Kwa ili life la kusubiri mshahara, dah parefu.
 
Bongo watu wanapigwa sana asilimia kubwa ya wauzaji sio waaminifu simu used au refurbished zinavishwa mabox na kupigwa makaratasi mpaka stocker za warranty unaambiwa brand new na bei zake zinakuwa zimesimama kweli.
Hapo umenena. Wengi wanadanganywa mpya. Ila ukibahatika Haina matatizo wengine ukijichanganya matatizo daily.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…