Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,319
Sasa hapa tutakuwa hatumalizi. Hebu nakuomba tu unipe maelezo Yule mungu wa waisrael na mungu wa wachaga aliyevunjwa tofauti yake ni nini?
Mkuu sio mda mrefu tu nilikuwa ninachat na mchungaji mmoja wa kinaijeria. Nikamuuliza swali moja kuhusu jinsi biblia inavyo contradict. Ndugu yaaani kaniita eti nimeingiliwa na shetani ninatakiwa ni rudi zizini. Jibu sikupata zaidi ya kuanza kupewa maneno meeeengi ambayo hayaendani na ninachouliza.
Kuhusu hili swala la kuelimisha jamii nitaanza na matamasha mbalimbali kisha nitaitisha midaharo ya watu wanaoweza kujibu na sio wenye hasira ili tujue ukweli.
Baada ya hapo nitaenda zaidi kuita makundi mbali mbali Mfano: Wanasayansi, Watu wa dini, Wasio na dini nk
...........
Hata leo tunaambiwa Wazungu wanaakili sana kuliko sisi Weusi, na watu kama wewe kuamini hivyo! Kwahiyo siwezi kushangaa kuwa umeaminishwa na kuamini kuwa Nebuchadnezzar alikuwa na akili kuliko binadamu yoyote aliyepata kuishi! Upande mwingine, tunaambiwa Suleiman alikuwa na akili, hekima na busara kuliko binadamu yoyote!!! Haya mambo ya Mungu na Uungu, they only exist in your own mind, and those who make their living by preaching! Lazima wazidi kukuogopesha.......though uoga huo usaidia kuwepo kwa Amani.......... Ila uwezi kunidanganya kuwa there is life after death na kwamba kuna supernatural powers🔴
Weka maswali yako hapa unibiwe
Lakini kitu kingine ambacho wavivu wa kufikiri Kama wewe hukitumia ni viroja zaidi kuliko hoja, Mimi ninafahamu msemo wa kiswahili usemao ukimuona Kobe juu ya mti ujue kawekwa, hiyo Ina maanisha chochote ukionacho chenye mwanzo na ukomo ujue kimefanywa kuwa kilivyo.
Sasa basi maswali yenye mashiko ukiacha sijui mkanganyiko kwenye vitabu sijui ni nini na nini vile hayo waachie watoto wa Shule za awali wewe panda kidogo onyesha ukomavu kifikra kwa kujiuliza maswali kuhusu ;
Nini chanzo cha uhai duniani, nani/nini aliyefanya dunia iwe hivi ilivyo na kwa nini ?
Nini sababu ya binadamu kuwepo hapa duniani ?
Lakini GT kuruka maswali hayo na kija JF au mtaani na viswali vya hapa panasema watu 10 na hapa panasema watu 100 ni utoto.
Haya jibu maswali ya msingi niliyoweka nawe weka maswali yako ya chekechea usaidiwe.
Hakika hutahitaji mjadala wa kukuuumbuwa kwa viswali vya chekechea utakuwa umejua ujuha wako hapa hapa.
Haya twende kazi.
Nadhani hujui unachokiongea. Halafu kwa ujinga wako unadhani dini duniani ni hizo tu za kuamini mungu mmoja!!.
Ninadiliki kusema kwamba wewe hujui chochote. Hujui metaphysics, hujui mathematics, hujui cosmology, hujui geography, hujui biology hujui dark energy na hujui Einstein speed formula.
Ninasema kwa uhakika hujui hata Mendelbord set. Kwa hiyo hujafanya research yoyote. Wewe unaenda nchi za watu na kubeba mabox hufanyi hata research utajulia wapi hizi elimu za kuhusu the truth?
Hujui meditation, hujui source of life. Ninakupa homework hebu fanya utafiti kwa hayo niliyo kuambia nakupa mwaka mmoja utakuja na topic tofauti.
Acha hasira twende taratibu nimekuuliza maswali hapo juu nakutaka ujibu kwanza.Ficha upumbavu wako, jibu hoja kadri ya ilivyowakilishwa kukuonyesha ulivyo mchovu kifikra.
Hakuna aliyekwambia utaje vile ulivyokariri
Fuatili hoja jibu kifungu kwa kifungu.
Kwanza ungeeleza hivyo vitabu ulivisoma vp hadi ukagundua huo udanganyifu? Kwa sababu kama ulivisoma kama usomavyo gazeti tu hili suala litakuwa gumu sana.
Ndugu yangu kweli upotayari kujibu maswali yangu!!? Ok naomba basi unijibu tu maswali machache tu ambayo siyaelewi yapo ndani ya biblia:
1. Je asili ya mungu ni nini?
2. Baada ya Kaini kumuua Abel alijitenga na uso wa mungu, Je alipata wapi mke na matokeo yake kukawa na wanefili?
Genesis (4:16-18)
3.Naomba unitafsirie maana ya maandiko haya kwenye Genesisi 6:
1.And it came to pass, when men began to multiply on the face of the earth, and daughters were born unto them,
2That the sons of God saw the daughters of men that they were fair; and they took them wives of all which they chose.
Naomba tuanze na maswali hayo kwanza tutaendelea.
Halafu:-
Isaya 53:
1 Ni nani aliyesadiki habari tuliyoileta?
Na mkono wa BWANA amefunuliwa nani?
2 Maana alikua mbele zake kama mche mwororo,
Na kama mzizi katika nchi kavu;
Yeye hana umbo wala uzuri;
Na tumwonapo hana uzuri hata tumtamani.
3 Alidharauliwa na kukataliwa na watu;
Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko;
Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao,
Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.
Acha hasira twende taratibu nimekuuliza maswali hapo juu nakutaka ujibu kwanza.
Ndipo tutaendelea na comment ya mtu mwingine.
Kwanza kabisa mie nilikwambia utoe vigezo vya kutambua dini sahihi, ila wewe ukaleta sifa za Mungu na ndiyo maana nilikuuliza hivyo ni vigezo vya kutambua dini ya kweli au ni sifa za mungu?
Sasa je,hizo sifa za Mungu unazikubali kuwa ni za kweli ili tuweze kuchambua dini sahihi yenye kutokana na Mungu wa kweli. Lakini kama itakuwa huzikubali hizo basi itakuwa haina hapa kujadili suala hilo.
Simple fact juu ya hilo,
Mkuu naamini wewe umesoma Primary au hata Secondary..., Kuna kijana Pale shuleni kwenu ni alikuwa hot kwenye masomo. Yaani yeye anaakili kuzidi wengine darasani kwenu. Kama utakataa kwangu imenitokea, Kama utabisha na kwangu basi chunguza hata kwa mtoto wako shuleni.
Fact nyingine juu ya hilo ni kuhusu ndoa, Mkuu Ivi haujapata kuona ndoa flani au familia flani yaani wao kazi yao ni kusuluisha migogoro ya familia/wanandoa wengine wao hata hamwaoni wakienda kusuluishwa kwenye familia nyingine yaani wanauwezo wa kujitawala na kutatua migogoro yao ndani kwa ndani (chumbani) yaani hata sebleni haufiki. Huo ni uwezo mdogo tu na ni mfano mdogo tu.
Ni kwamba Ukweli usiopingika Mfalme Suleimani alikuwa na akili zilizotokana na Hekima alizopewa na MWENYEZI MUNGU muweza wa Yote. Alikuwa na uwezo mkubwa wa kutazama mbeleni na kuamua kesi ngumu zilizoletwa mbele yake.
Nadhani hujui unachokiongea. Halafu kwa ujinga wako unadhani dini duniani ni hizo tu za kuamini mungu mmoja!!.
Ninadiliki kusema kwamba wewe hujui chochote. Hujui metaphysics, hujui mathematics, hujui cosmology, hujui geography, hujui biology hujui dark energy na hujui Einstein speed formula.
Ninasema kwa uhakika hujui hata Mendelbord set. Kwa hiyo hujafanya research yoyote. Wewe unaenda nchi za watu na kubeba mabox hufanyi hata research utajulia wapi hizi elimu za kuhusu the truth?
Hujui meditation, hujui source of life. Ninakupa homework hebu fanya utafiti kwa hayo niliyo kuambia nakupa mwaka mmoja utakuja na topic tofauti.
Angalizo: Anayetakiwa kujibu ni wewe maaana ndiye unayetetea kitabu chenu.1. Swali lako ni gumu sana.
Ninakuomba ndugu yangu usije ukafikiria kuwa kuna nadharia iliyo jificha na ukasema kuwa eti mimi siijui!!Swali lako ni gumu sana, ugumu unatikana na kwamba nyuma ya swali lako kuna nadharia ambazo zimejificha na wewe pekee ndiye unsyezijua.
Kumbuka nimekuuliza swali lenye nadhalia pana sana. "Kumbuka Cain alifukuzwa kwenye uso wa mungu mara baada tu ya kumuua Abel. Na hapo hapo akaenda kwenye nchi ya Nod baadae akamjua mke wake akapata mtoto.Adam aliishi miaka zaidi ya MIA 900 alizaa wana wa kike na wa kiume...
Hapa unaposema "inaonesha" inamaanisha kuwa huna hata uhakika. Je utakuwa tayari kukubaliana na watu wanafuatilia mambo ya kihistoria wanaosema kwamba Zamani za kale kulikuwa na Anunak waliokuwa kama Reptile wakaingiliana na watu na tukatokea sisi.inaonyesha wanadamu waliingilia na malaika walioasi na kuzaa mijitu ( nephils)
Ndugu yangu kweli upotayari kujibu maswali yangu!!? Ok naomba basi unijibu tu maswali machache tu ambayo siyaelewi yapo ndani ya biblia:
1. Je asili ya MWENYEZI MUNGU ni nini?
2. Baada ya Kaini kumuua Abel alijitenga na uso wa MUNGU, Je alipata wapi mke na matokeo yake kukawa na wanefili?
Genesis (4:16-18)
3.Naomba unitafsirie maana ya maandiko haya kwenye Genesisi 6:
1.And it came to pass, when men began to multiply on the face of the earth, and daughters were born unto them,
2That the sons of GOD saw the daughters of men that they were fair; and they took them wives of all which they chose.
Naomba tuanze na maswali hayo kwanza tutaendelea.
Halafu:-
Isaya 53:
1 Ni nani aliyesadiki habari tuliyoileta?
Na mkono wa BWANA amefunuliwa nani?
2 Maana alikua mbele zake kama mche mwororo,
Na kama mzizi katika nchi kavu;
Yeye hana umbo wala uzuri;
Na tumwonapo hana uzuri hata tumtamani.
3 Alidharauliwa na kukataliwa na watu;
Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko;
Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao,
Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.
Laiti ungekuja na ukweli (huo unaoamini umesimama nao ili kupreach na kuwapa wanadamu tumaini jipya ambalo halikupata kutukia takribani kwa miaka 2000) ingekuwa jambo la busara.Naamini Mungu yupo! Ndio 100% percent naamini uwepo wake, haijalishi kilichoandikwa kwenye kitabu chake kinaonekana kweli au la. We mtu jua kuwa kila binadamu amezaliwa kawaida lakini taratibu (hata pasipo maelekezo systematic) hujikuta ana asili ya kuabudu ndani yake!! Hii iko hata kwako pamoja na hoja zako zote hizo ,bado kuna sehemu (siri yako ) wewe hupeleka Ibada, kafara ama sadaka na matambiko yako, na hata kama unatega kupeleka bado nafsi inajisikia kufanya na siku zote inakusukuma kuabudu.
Mababu zetu na hata jamii yoyote, zikiwemo zile ziishizo kwenye misitu minene pasipo kuwa na contact na jamii zilizoendelea still huwa wanaabudu something, huu msukumo hauji artificially, ni inbuilt program within a human soul, nani aliye install hii program ndani ya binadam.?? Lazima yeye ndiye Master Wao, ndio maana unakuta wana struggle kupeleka sad aka, ibada na makafara( kama ufanyavyo wewe huko unakokujua na kupaamini)
Labda tuambie basi ni jamii ngapi, primitive kabisa au jamii yoyote uliyoikuta haina utaratibu wa kukomunikate na mungu wao? Je, unadhani kuwa jamii zote hizo zilipelekewa hizo imani na wageni fulani?
Ninaanza katika somo lako unalolijua (Geograph).....
Angalizo: Anayetakiwa kujibu ni wewe maaana ndiye unayetetea kitabu chenu.
Ninakuomba ndugu yangu usije ukafikiria kuwa kuna nadharia iliyo jificha na ukasema kuwa eti mimi siijui!!
Muhimu: Ndio maana nadharia zipo nyingi sana kuhusu existance (Kuna issue za kuhusu big bang, universe nk.
Halafu mungu wenu huyu aliumba mbingu na dunia tu hakuna nadhalia ya uwepo wa sayari zingine na galaxies zingine kwenye biblia.
Genesis 1:1 In the beginning God created the heaven and the earth.
Sijajua kama kweli mnakisoma kitabu chenu. Kwa kusema hivyo mungu unayemsoma kwenye kitabu chenu cha biblia ametengenezwa na watu katika akili zao. kwajinsi anavyoelezwa haiwezekani akafanya makosa.
Kumbuka nimekuuliza swali lenye nadhalia pana sana. "Kumbuka Cain alifukuzwa kwenye uso wa mungu mara baada tu ya kumuua Abel. Na hapo hapo akaenda kwenye nchi ya Nod baadae akamjua mke wake akapata mtoto.
Mantiki ya hapa ni: Je nchi ya Nod ilitokea wapi? Na kama alifukuzwa kwenye uso wa mungu ilikuwaje kuwaje akapata mke ambaye ni uzao wa Adam aliye kwenye uso wa mungu? Halafu inakuwaje huyo akapewa laana kwamba yeye akimuua au kumfanyia chochote atakuwa na matatizo pia. Kwa mantiki hiyo utagundua hiyo biblia imeandikwa kulingana na utamaduni fulani kana kwamba wenyewe ndio walikuwa wanajiita binadamu na utagundua kuwa kulikuwa na watu wengine wanaishi kipindi cha adam
Kwa maana hiyo huyo mungu aliye zungumzwa kwenye kitabu chenu ni sawa na huyu mungu wa kichaga aliyevunjwa.
Hapa unaposema "inaonesha" inamaanisha kuwa huna hata uhakika. Je utakuwa tayari kukubaliana na watu wanafuatilia mambo ya kihistoria wanaosema kwamba Zamani za kale kulikuwa na Anunak waliokuwa kama Reptile wakaingiliana na watu na tukatokea sisi.
Au unataka kusema sasa Malaika wanaweza wakabakwa na wanadamu kama kile kipindi cha Lutu? kwa mantiki yako hiyo inazalisha nadharia nyingi sana. Kwamba inamaana wanadamu wote waliopo sasa hivi duniani wanamchangayiko na wana wa mungu na wana wa wanadamu? Je mwanadamu kamili kabisa ambaye hana mchanganyiko yupo wapi? Ina maana sisi hi half cast?
Naomba tuende taratibu usiwe na hasira.
Ninaomba hoja zako ziweke hapa kwenye comment hii nizione.Bado nasisitiza uwe inajubu hoja unazopewa nawe ndipo uweke hoja zako.
Hoja zako zinathibitisha jinsi unavyokariri badala ya kuhariri.