A God can be a mere theory, nothing more

A God can be a mere theory, nothing more

Sasa hapa tutakuwa hatumalizi. Hebu nakuomba tu unipe maelezo Yule mungu wa waisrael na mungu wa wachaga aliyevunjwa tofauti yake ni nini?

Mungu wa Israel huwezi kumfikia alipo na ukawa hai kwa kuwa kuna historia inaonyesha utisho wa utukufu wake ulifanya watu wapoteze fahamu kwa hofu.
mungu wa wachaga anafikiwa hadi kuvunjwa mguu ina maana huyo mungu ni finity object na kama ni finity object lazima awe ni matokeo na sio sababu hivyo inaonyesha alitengenezwa.
 
Mkuu sio mda mrefu tu nilikuwa ninachat na mchungaji mmoja wa kinaijeria. Nikamuuliza swali moja kuhusu jinsi biblia inavyo contradict. Ndugu yaaani kaniita eti nimeingiliwa na shetani ninatakiwa ni rudi zizini. Jibu sikupata zaidi ya kuanza kupewa maneno meeeengi ambayo hayaendani na ninachouliza.

Kuhusu hili swala la kuelimisha jamii nitaanza na matamasha mbalimbali kisha nitaitisha midaharo ya watu wanaoweza kujibu na sio wenye hasira ili tujue ukweli.

Baada ya hapo nitaenda zaidi kuita makundi mbali mbali Mfano: Wanasayansi, Watu wa dini, Wasio na dini nk

Weka maswali yako hapa unibiwe
Lakini kitu kingine ambacho wavivu wa kufikiri Kama wewe hukitumia ni viroja zaidi kuliko hoja, Mimi ninafahamu msemo wa kiswahili usemao ukimuona Kobe juu ya mti ujue kawekwa, hiyo Ina maanisha chochote ukionacho chenye mwanzo na ukomo ujue kimefanywa kuwa kilivyo.
Sasa basi maswali yenye mashiko ukiacha sijui mkanganyiko kwenye vitabu sijui ni nini na nini vile hayo waachie watoto wa Shule za awali wewe panda kidogo onyesha ukomavu kifikra kwa kujiuliza maswali kuhusu ;
Nini chanzo cha uhai duniani, nani/nini aliyefanya dunia iwe hivi ilivyo na kwa nini ?
Nini sababu ya binadamu kuwepo hapa duniani ?
Lakini GT kuruka maswali hayo na kija JF au mtaani na viswali vya hapa panasema watu 10 na hapa panasema watu 100 ni utoto.
Haya jibu maswali ya msingi niliyoweka nawe weka maswali yako ya chekechea usaidiwe.
Hakika hutahitaji mjadala wa kukuuumbuwa kwa viswali vya chekechea utakuwa umejua ujuha wako hapa hapa.

Haya twende kazi.
 
...........

Hata leo tunaambiwa Wazungu wanaakili sana kuliko sisi Weusi, na watu kama wewe kuamini hivyo! Kwahiyo siwezi kushangaa kuwa umeaminishwa na kuamini kuwa Nebuchadnezzar alikuwa na akili kuliko binadamu yoyote aliyepata kuishi! Upande mwingine, tunaambiwa Suleiman alikuwa na akili, hekima na busara kuliko binadamu yoyote!!! Haya mambo ya Mungu na Uungu, they only exist in your own mind, and those who make their living by preaching! Lazima wazidi kukuogopesha.......though uoga huo usaidia kuwepo kwa Amani.......... Ila uwezi kunidanganya kuwa there is life after death na kwamba kuna supernatural powers🔴

Mnaambiwa wazungu wana akili zaidi na nani ?
Nani kakwambia ? Baada ya kuambiwa uliuliza sababu ya akiyekwambia kwa nini aliamini kile alichokwambia ?
Hoja yako inawakilisha udhaifu wa kifikra unaokukabili kiasi umefikia pahala unaandika upu.pu pasipo kuweka fikra zako Kama binadamu
Yaani uwepo wa Mungu unauangalia kwenye matendo ya binadamu !?
Ni aibu kwa hoja za aina hii kueakilisha upande wa hakuna Mungu, Mimi ninaamini watu wanaosema hakuna Mungu ni watu wanaopenda Sana "critical thinking" na sio fikra za kukurupuka kurupuka Kama zinavyojionyesha kwenye maandishi yako hapa....
 
Weka maswali yako hapa unibiwe
Lakini kitu kingine ambacho wavivu wa kufikiri Kama wewe hukitumia ni viroja zaidi kuliko hoja, Mimi ninafahamu msemo wa kiswahili usemao ukimuona Kobe juu ya mti ujue kawekwa, hiyo Ina maanisha chochote ukionacho chenye mwanzo na ukomo ujue kimefanywa kuwa kilivyo.
Sasa basi maswali yenye mashiko ukiacha sijui mkanganyiko kwenye vitabu sijui ni nini na nini vile hayo waachie watoto wa Shule za awali wewe panda kidogo onyesha ukomavu kifikra kwa kujiuliza maswali kuhusu ;
Nini chanzo cha uhai duniani, nani/nini aliyefanya dunia iwe hivi ilivyo na kwa nini ?
Nini sababu ya binadamu kuwepo hapa duniani ?
Lakini GT kuruka maswali hayo na kija JF au mtaani na viswali vya hapa panasema watu 10 na hapa panasema watu 100 ni utoto.
Haya jibu maswali ya msingi niliyoweka nawe weka maswali yako ya chekechea usaidiwe.
Hakika hutahitaji mjadala wa kukuuumbuwa kwa viswali vya chekechea utakuwa umejua ujuha wako hapa hapa.

Haya twende kazi.

Ndugu yangu kweli upotayari kujibu maswali yangu!!? Ok naomba basi unijibu tu maswali machache tu ambayo siyaelewi yapo ndani ya biblia:
1. Je asili ya mungu ni nini?
2. Baada ya Kaini kumuua Abel alijitenga na uso wa mungu, Je alipata wapi mke na matokeo yake kukawa na wanefili?
Genesis (4:16-18)
3.Naomba unitafsirie maana ya maandiko haya kwenye Genesisi 6:
1.And it came to pass, when men began to multiply on the face of the earth, and daughters were born unto them,
2That the sons of God saw the daughters of men that they were fair; and they took them wives of all which they chose.

Naomba tuanze na maswali hayo kwanza tutaendelea.

Halafu:-
Isaya 53:
1 Ni nani aliyesadiki habari tuliyoileta?
Na mkono wa BWANA amefunuliwa nani?
2 Maana alikua mbele zake kama mche mwororo,
Na kama mzizi katika nchi kavu;
Yeye hana umbo wala uzuri;
Na tumwonapo hana uzuri hata tumtamani.
3 Alidharauliwa na kukataliwa na watu;
Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko;
Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao,
Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.
 
Nadhani hujui unachokiongea. Halafu kwa ujinga wako unadhani dini duniani ni hizo tu za kuamini mungu mmoja!!.

Ninadiliki kusema kwamba wewe hujui chochote. Hujui metaphysics, hujui mathematics, hujui cosmology, hujui geography, hujui biology hujui dark energy na hujui Einstein speed formula.

Ninasema kwa uhakika hujui hata Mendelbord set. Kwa hiyo hujafanya research yoyote. Wewe unaenda nchi za watu na kubeba mabox hufanyi hata research utajulia wapi hizi elimu za kuhusu the truth?

Hujui meditation, hujui source of life. Ninakupa homework hebu fanya utafiti kwa hayo niliyo kuambia nakupa mwaka mmoja utakuja na topic tofauti.

Ficha upumbavu wako, jibu hoja kadri ya ilivyowakilishwa kukuonyesha ulivyo mchovu kifikra.
Hakuna aliyekwambia utaje vile ulivyokariri
Fuatili hoja jibu kifungu kwa kifungu.
 
Ficha upumbavu wako, jibu hoja kadri ya ilivyowakilishwa kukuonyesha ulivyo mchovu kifikra.
Hakuna aliyekwambia utaje vile ulivyokariri
Fuatili hoja jibu kifungu kwa kifungu.
Acha hasira twende taratibu nimekuuliza maswali hapo juu nakutaka ujibu kwanza.
Ndipo tutaendelea na comment ya mtu mwingine.
 
Kwanza ungeeleza hivyo vitabu ulivisoma vp hadi ukagundua huo udanganyifu? Kwa sababu kama ulivisoma kama usomavyo gazeti tu hili suala litakuwa gumu sana.

Mkuu kwani vitabu vinasomwaje?
Ikiwa mimi sikuelewa maana wewe usi utatoa maana halisi!!!!
 
Ndugu yangu kweli upotayari kujibu maswali yangu!!? Ok naomba basi unijibu tu maswali machache tu ambayo siyaelewi yapo ndani ya biblia:
1. Je asili ya mungu ni nini?
2. Baada ya Kaini kumuua Abel alijitenga na uso wa mungu, Je alipata wapi mke na matokeo yake kukawa na wanefili?
Genesis (4:16-18)
3.Naomba unitafsirie maana ya maandiko haya kwenye Genesisi 6:
1.And it came to pass, when men began to multiply on the face of the earth, and daughters were born unto them,
2That the sons of God saw the daughters of men that they were fair; and they took them wives of all which they chose.

Naomba tuanze na maswali hayo kwanza tutaendelea.

Halafu:-
Isaya 53:
1 Ni nani aliyesadiki habari tuliyoileta?
Na mkono wa BWANA amefunuliwa nani?
2 Maana alikua mbele zake kama mche mwororo,
Na kama mzizi katika nchi kavu;
Yeye hana umbo wala uzuri;
Na tumwonapo hana uzuri hata tumtamani.
3 Alidharauliwa na kukataliwa na watu;
Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko;
Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao,
Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.

1. Swali lako ni gumu sana, ugumu unatikana na kwamba nyuma ya swali lako kuna nadharia ambazo zimejificha na wewe pekee ndiye unsyezijua.
Unaposema asili ya Mungu ni nini
Assumption yako ni kwamba Mungu anayo asili na hivyo unataka kujua asili yake ni nini.

Mungu ninaye mwabudu mimj ni wa milele asiye na asili yoyote, Hana mwanzo wala mwisho.
Hivyo swali lako kwangu linabakia kuwa swali la kitoto na kijuha tu.
2.Adam aliishi miaka zaidi ya MIA 900 alizaa wana wa kike na wa kiume. Hakuna pahala tumeambiwa alizaa wa kiume wangapi na wakike wangapi na hao walizaaa wana wa kike wangapi na wa kiume wangapi
Swali lako bado linabaki la kitoto.
3.inaonyesha wanadamu waliingilia na malaika walioasi na kuzaa mijitu ( nephils)
The verse has to do with fallen angels marrying human being and offspring being the giants
Kuhusu Isaya 53 sijui hitaji lako ni nini

Mwisho.
Ukipewa hoja jibu hoja uliyopewa nawe weka hoja zako kwa afya ya mjadala.
Nukuu yako uliyoweka na kuweka hoja zako inahoja ambazo ulitakiwa uzijibu.
 
Acha hasira twende taratibu nimekuuliza maswali hapo juu nakutaka ujibu kwanza.
Ndipo tutaendelea na comment ya mtu mwingine.

Utanisaidia nisipate hasira Kama utakuwa unajibu hoja kadri zilivyowakilishwa na kuweka hoja zako.
 
Kwanza kabisa mie nilikwambia utoe vigezo vya kutambua dini sahihi, ila wewe ukaleta sifa za Mungu na ndiyo maana nilikuuliza hivyo ni vigezo vya kutambua dini ya kweli au ni sifa za mungu?

Sasa je,hizo sifa za Mungu unazikubali kuwa ni za kweli ili tuweze kuchambua dini sahihi yenye kutokana na Mungu wa kweli. Lakini kama itakuwa huzikubali hizo basi itakuwa haina hapa kujadili suala hilo.

Mkuu nilikwambia tuingie point ya pili ulikataa, nilipokuambia utoe hivyo vigezo vya dini ya kweli ulinitaka nitoe mimi, japo nilikwambia zile sifa ni kwa mtazamo wangu still ukaniuliza nimetoa wapi, now unaniuliza navikubali!!! Kweli?!!!

Mimi nimesema hiuyo Mungu anaweza akawa ni theory tu. sababu zangu nimeshaeleza ktk mada but unanizungusha zungusha sana hata sielewi objection zako ziko wapi.

Mkuu naomba upitie tena Post no. 1/mada.
 
Simple fact juu ya hilo,

Mkuu naamini wewe umesoma Primary au hata Secondary..., Kuna kijana Pale shuleni kwenu ni alikuwa hot kwenye masomo. Yaani yeye anaakili kuzidi wengine darasani kwenu. Kama utakataa kwangu imenitokea, Kama utabisha na kwangu basi chunguza hata kwa mtoto wako shuleni.

Fact nyingine juu ya hilo ni kuhusu ndoa, Mkuu Ivi haujapata kuona ndoa flani au familia flani yaani wao kazi yao ni kusuluisha migogoro ya familia/wanandoa wengine wao hata hamwaoni wakienda kusuluishwa kwenye familia nyingine yaani wanauwezo wa kujitawala na kutatua migogoro yao ndani kwa ndani (chumbani) yaani hata sebleni haufiki. Huo ni uwezo mdogo tu na ni mfano mdogo tu.

Ni kwamba Ukweli usiopingika Mfalme Suleimani alikuwa na akili zilizotokana na Hekima alizopewa na MWENYEZI MUNGU muweza wa Yote. Alikuwa na uwezo mkubwa wa kutazama mbeleni na kuamua kesi ngumu zilizoletwa mbele yake.

Mkuu unaweza kutolea mfano wa hata kesi moja aliyoiamua Suleimani ambayo unahisi mwanadamu mwengine angeshindwa?
 
wewe umesema kwa mtazamo wako.

na ndio maana nikakwambia hauko tayari kuelewa.

I'm sorry kama nitakuwa nimekukwaza kwa kutojibu swali lako mkuu.

Mkuu ukijibu swali lake hata mimi nitajifunza.
 
Nadhani hujui unachokiongea. Halafu kwa ujinga wako unadhani dini duniani ni hizo tu za kuamini mungu mmoja!!.

Ninadiliki kusema kwamba wewe hujui chochote. Hujui metaphysics, hujui mathematics, hujui cosmology, hujui geography, hujui biology hujui dark energy na hujui Einstein speed formula.

Ninasema kwa uhakika hujui hata Mendelbord set. Kwa hiyo hujafanya research yoyote. Wewe unaenda nchi za watu na kubeba mabox hufanyi hata research utajulia wapi hizi elimu za kuhusu the truth?

Hujui meditation, hujui source of life. Ninakupa homework hebu fanya utafiti kwa hayo niliyo kuambia nakupa mwaka mmoja utakuja na topic tofauti.

Sijakuelewa bado unaposema sijui vitu ulivyoviorodhesha hapo juu mantiki yako ni ipi na uhusiano wake na Kumjua MWENYEZI MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI NA VYOTE VILIVYOMO IKIWEPO WEWE Binadamu Mdogo mwenye punzi yenye mwisho wake ni ipi...

Kwani kujua vitu vyote hivyo ndio kumjua MUNGU wa kweli? Hata hivyo Biology ipi unayosema siijui ni hiihii sayansi ya Viumbe (wanyama na mimea)?Ambayo inalimitation? haiwezi kufafanua kwa weledi mzuri uliotukuka kuhusu Asili ya Mwanadamu, Biology hii hii unayoisifia haiwezi kufafanua After death life ya MwanaDamu, Biology hii hii madaktari wanaisoma lakini wanapata wakati mgumu kutengeneza Dawa za baadhi ya magonjwa kwa tiba kama Ebola na Ukimwi, Lakini kwa wakati huo huo tukishuhudia watu wakiponywa magonjwa mbalimbali Ukiwemo UKIMWI ambao kiBiologia Imeshindikana kupatikana tiba ya moja kwa moja hadi sasa....

Kwa mathematics naweza kukubali sijui yote lakini weledi wa kukokotoa Mahesabu ya kuweza kusimamia Project yoyote ya contruction activity unanitosha, nakubali siwezi kuijua Hesabu yote Duniani.

Kwa Physics nako mimi naona ni yaleyale sayansi unayotuwezesha kutambua mahusiano ya maada mbalimbali na uwezo wao katika kuzalisha energy...,sijui labda kuwe kuna Physics nyingine... Lakini nayo pia imeshindwa kwa baadhi ya calculations watu tunaishia ku-assume bila kuwa na uhakika wa moja kwa moja. Bado Physics unayoisema inalimitations nyingi sana ukihusianisha na Kumjua MWENYEZI MUNGU. Unaweza ukajiona unaijua Physics yote Duniani na Ulimwenguni lakini isikusaidie kumjua MWENYEZI MUNGU hata kidogo.

Geography hapa umenigusa na huwa napapenda sana..., Niulize chochote kuhusu jografia nami nitakujibu kwa uwezo niliokuwa nao nawe utapata kutambua ninaweledi gani juu ya hili somo, Siongei sana.

Eistein Speed formula, hahahaaa umenikumbusha mbali sana, nafkiri utakuwa unamaanisha ''Mass to Energy Relation'' Bila shaka ni hiyo. Bila kukosea itakuwa ni kama ifuatavyo E=mc2 which means kama kitu chenye mass 'm' kiki-move with speed 'c' kitakuwa na uwezo wa kuzalisha energy 'E'...., the more the speed the more Energy emitted. Labda kama umemaanisha vingine.

Vingine ulivyoviorodhesha nakubali sina weledi navyo kama ''Dark Energy'' sidhani kama itanisaidia kwani ''light Energy'' niliyonayo inanitosha.

Ku-maditate ni kustay calm with your eyes closed, having special breath yote ni kutaka kutuliza akili na mwili, Sasa kwaakili zako utadhani kumaditate ni hadi ufikie sijui kwenye jicho la tatu, huko sio kumaditate huko unakuwa umeingia kwenye mambo mengine kabisaa..., Nadiriki kusema majumba mengi ya Ibada especially Christians meditation huwa inafanyika lakini kwa kiwango cha chini na watu wanakuwa wamezikabizi fikra zao kwa MUNGU.
(Kama utakuwa na Akili finyu sana utapinga hili)

Unaposema sijui sorce of life Nina uhakika na wewe hujui kabisa kama weledi wako utakuwa umebase kwenye Biology,Physics na masomo mengine kwani nayo yanatoa theories ambazo hazina proof na zinashindwa kuzielezea kwa ukamilifu.
 
1. Swali lako ni gumu sana.
Angalizo: Anayetakiwa kujibu ni wewe maaana ndiye unayetetea kitabu chenu.
Swali lako ni gumu sana, ugumu unatikana na kwamba nyuma ya swali lako kuna nadharia ambazo zimejificha na wewe pekee ndiye unsyezijua.
Ninakuomba ndugu yangu usije ukafikiria kuwa kuna nadharia iliyo jificha na ukasema kuwa eti mimi siijui!!
Muhimu: Ndio maana nadharia zipo nyingi sana kuhusu existance (Kuna issue za kuhusu big bang, universe nk.
Halafu mungu wenu huyu aliumba mbingu na dunia tu hakuna nadhalia ya uwepo wa sayari zingine na galaxies zingine kwenye biblia.
Genesis 1:1 In the beginning God created the heaven and the earth.
Sijajua kama kweli mnakisoma kitabu chenu. Kwa kusema hivyo mungu unayemsoma kwenye kitabu chenu cha biblia ametengenezwa na watu katika akili zao. kwajinsi anavyoelezwa haiwezekani akafanya makosa.
Adam aliishi miaka zaidi ya MIA 900 alizaa wana wa kike na wa kiume...
Kumbuka nimekuuliza swali lenye nadhalia pana sana. "Kumbuka Cain alifukuzwa kwenye uso wa mungu mara baada tu ya kumuua Abel. Na hapo hapo akaenda kwenye nchi ya Nod baadae akamjua mke wake akapata mtoto.
Mantiki ya hapa ni: Je nchi ya Nod ilitokea wapi? Na kama alifukuzwa kwenye uso wa mungu ilikuwaje kuwaje akapata mke ambaye ni uzao wa Adam aliye kwenye uso wa mungu? Halafu inakuwaje huyo akapewa laana kwamba yeye akimuua au kumfanyia chochote atakuwa na matatizo pia. Kwa mantiki hiyo utagundua hiyo biblia imeandikwa kulingana na utamaduni fulani kana kwamba wenyewe ndio walikuwa wanajiita binadamu na utagundua kuwa kulikuwa na watu wengine wanaishi kipindi cha adam

Kwa maana hiyo huyo mungu aliye zungumzwa kwenye kitabu chenu ni sawa na huyu mungu wa kichaga aliyevunjwa.

inaonyesha wanadamu waliingilia na malaika walioasi na kuzaa mijitu ( nephils)
Hapa unaposema "inaonesha" inamaanisha kuwa huna hata uhakika. Je utakuwa tayari kukubaliana na watu wanafuatilia mambo ya kihistoria wanaosema kwamba Zamani za kale kulikuwa na Anunak waliokuwa kama Reptile wakaingiliana na watu na tukatokea sisi.

Au unataka kusema sasa Malaika wanaweza wakabakwa na wanadamu kama kile kipindi cha Lutu? kwa mantiki yako hiyo inazalisha nadharia nyingi sana. Kwamba inamaana wanadamu wote waliopo sasa hivi duniani wanamchangayiko na wana wa mungu na wana wa wanadamu? Je mwanadamu kamili kabisa ambaye hana mchanganyiko yupo wapi? Ina maana sisi hi half cast?

Naomba tuende taratibu usiwe na hasira.
 
Naomba nikusahihishe kidogo,

Alafu unapokuwa unataja,kutamka au hata kuandika jina la MWENYEZI MUNGU jaribu kuwa na staha kidogo maana bado hujaujua ukweli kiasi cha kuweza kulichukulia jina la MWENYEZI MUNGU kama unavyolichukulia.

Ndugu yangu kweli upotayari kujibu maswali yangu!!? Ok naomba basi unijibu tu maswali machache tu ambayo siyaelewi yapo ndani ya biblia:
1. Je asili ya MWENYEZI MUNGU ni nini?
2. Baada ya Kaini kumuua Abel alijitenga na uso wa MUNGU, Je alipata wapi mke na matokeo yake kukawa na wanefili?
Genesis (4:16-18)
3.Naomba unitafsirie maana ya maandiko haya kwenye Genesisi 6:
1.And it came to pass, when men began to multiply on the face of the earth, and daughters were born unto them,
2That the sons of GOD saw the daughters of men that they were fair; and they took them wives of all which they chose.

Naomba tuanze na maswali hayo kwanza tutaendelea.

Halafu:-
Isaya 53:
1 Ni nani aliyesadiki habari tuliyoileta?
Na mkono wa BWANA amefunuliwa nani?
2 Maana alikua mbele zake kama mche mwororo,
Na kama mzizi katika nchi kavu;
Yeye hana umbo wala uzuri;
Na tumwonapo hana uzuri hata tumtamani.
3 Alidharauliwa na kukataliwa na watu;
Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko;
Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao,
Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.
 
Laiti ungekuja na ukweli (huo unaoamini umesimama nao ili kupreach na kuwapa wanadamu tumaini jipya ambalo halikupata kutukia takribani kwa miaka 2000) ingekuwa jambo la busara.Naamini Mungu yupo! Ndio 100% percent naamini uwepo wake, haijalishi kilichoandikwa kwenye kitabu chake kinaonekana kweli au la. We mtu jua kuwa kila binadamu amezaliwa kawaida lakini taratibu (hata pasipo maelekezo systematic) hujikuta ana asili ya kuabudu ndani yake!! Hii iko hata kwako pamoja na hoja zako zote hizo ,bado kuna sehemu (siri yako ) wewe hupeleka Ibada, kafara ama sadaka na matambiko yako, na hata kama unatega kupeleka bado nafsi inajisikia kufanya na siku zote inakusukuma kuabudu.
Mababu zetu na hata jamii yoyote, zikiwemo zile ziishizo kwenye misitu minene pasipo kuwa na contact na jamii zilizoendelea still huwa wanaabudu something, huu msukumo hauji artificially, ni inbuilt program within a human soul, nani aliye install hii program ndani ya binadam.?? Lazima yeye ndiye Master Wao, ndio maana unakuta wana struggle kupeleka sad aka, ibada na makafara( kama ufanyavyo wewe huko unakokujua na kupaamini)
Labda tuambie basi ni jamii ngapi, primitive kabisa au jamii yoyote uliyoikuta haina utaratibu wa kukomunikate na mungu wao? Je, unadhani kuwa jamii zote hizo zilipelekewa hizo imani na wageni fulani?

Wewe unasema unaamini yupo, lakini huna uthibitisho.

Unaposema kila jamii inaabudu Mungu wake hapo ndipo unapojizonga coz nikikuuliza kunamiungu mingapi sijui utajibu nini! Then hujiulizi kwanini kila jamii inaabudu. short and clear mwanadamu anaposhindwa kumaster mipango yake ndipo idea ya Mungu inakuja na hilo lipo wazi Mungu amaombwa na kutambulika SANA na maskini rather than wale wenye kipato.

Kwa kufungia ni kuwa haowezekani Miungu yoteinayoabudiwa ni ya kweli but upo uwezekano hao wote ni waongo. ikiwa unamjua Mungu or dini ya kweli moja tu, utaje utoe na sababu zako.
 
Ninaanza katika somo lako unalolijua (Geograph)
Unamuongeleaje huyo mungu wako anayeongelewa kwenye biblia

Genesis 1:1 In the beginning God created the heaven and the earth.
Je unaongelea nini kuhusu sayari zingine? unaongelea nini kuhusu other Galaxies? Je hiyo Geography inakusaidia nini kuhusu kumjua huyo mungu wako?
Joshua 10:13
And the sun stood still, and the moon stayed, until the people had avenged themselves upon their enemies. Is not this written in the book of Jasher? So the sun stood still in the midst of heaven, and hasted not to go down about a whole day.
Je hapa unaongelea nini watu hawa walikuwa hajui jeografia? au mungu hajui jiografia hajui kuwa dunia ndio inazunguka jua?

Halafu ninapoongelea Dark Energy ninaongelea Energy inayotokana na vitu ambavyo viko invisible kwenye macho yetu na vina speed kubwa sana. Kuhusu Einstein ninakuhakikishia kuwa hujui maana yake kabisa na sina mda sasa wa kuanza kukuelezea nitakutafutia document ijisomee na uelewe maana yake.

Hebu naomba unitolee maelezo kwanza maswali yangu hapo kabla sijaendelea na mambo mengine.
 
Angalizo: Anayetakiwa kujibu ni wewe maaana ndiye unayetetea kitabu chenu.

Ninakuomba ndugu yangu usije ukafikiria kuwa kuna nadharia iliyo jificha na ukasema kuwa eti mimi siijui!!
Muhimu: Ndio maana nadharia zipo nyingi sana kuhusu existance (Kuna issue za kuhusu big bang, universe nk.
Halafu mungu wenu huyu aliumba mbingu na dunia tu hakuna nadhalia ya uwepo wa sayari zingine na galaxies zingine kwenye biblia.
Genesis 1:1 In the beginning God created the heaven and the earth.
Sijajua kama kweli mnakisoma kitabu chenu. Kwa kusema hivyo mungu unayemsoma kwenye kitabu chenu cha biblia ametengenezwa na watu katika akili zao. kwajinsi anavyoelezwa haiwezekani akafanya makosa.

Kumbuka nimekuuliza swali lenye nadhalia pana sana. "Kumbuka Cain alifukuzwa kwenye uso wa mungu mara baada tu ya kumuua Abel. Na hapo hapo akaenda kwenye nchi ya Nod baadae akamjua mke wake akapata mtoto.
Mantiki ya hapa ni: Je nchi ya Nod ilitokea wapi? Na kama alifukuzwa kwenye uso wa mungu ilikuwaje kuwaje akapata mke ambaye ni uzao wa Adam aliye kwenye uso wa mungu? Halafu inakuwaje huyo akapewa laana kwamba yeye akimuua au kumfanyia chochote atakuwa na matatizo pia. Kwa mantiki hiyo utagundua hiyo biblia imeandikwa kulingana na utamaduni fulani kana kwamba wenyewe ndio walikuwa wanajiita binadamu na utagundua kuwa kulikuwa na watu wengine wanaishi kipindi cha adam

Kwa maana hiyo huyo mungu aliye zungumzwa kwenye kitabu chenu ni sawa na huyu mungu wa kichaga aliyevunjwa.

Hapa unaposema "inaonesha" inamaanisha kuwa huna hata uhakika. Je utakuwa tayari kukubaliana na watu wanafuatilia mambo ya kihistoria wanaosema kwamba Zamani za kale kulikuwa na Anunak waliokuwa kama Reptile wakaingiliana na watu na tukatokea sisi.

Au unataka kusema sasa Malaika wanaweza wakabakwa na wanadamu kama kile kipindi cha Lutu? kwa mantiki yako hiyo inazalisha nadharia nyingi sana. Kwamba inamaana wanadamu wote waliopo sasa hivi duniani wanamchangayiko na wana wa mungu na wana wa wanadamu? Je mwanadamu kamili kabisa ambaye hana mchanganyiko yupo wapi? Ina maana sisi hi half cast?

Naomba tuende taratibu usiwe na hasira.

Bado nasisitiza uwe inajubu hoja unazopewa nawe ndipo uweke hoja zako.
Hoja zako zinathibitisha jinsi unavyokariri badala ya kuhariri.
Swali kuhusu asili ya Mungu nimekujibu kwa njia ambayo nilitaka mwenyewe uone mapungufu yako.
Kuuliza asili ya kitu... Ni kwamba unaamini kwamba kitu husika kina asili ama chanzo.
Mungu wangu hana asili wala chanzo ni wa milele asiye mwanzo wala mwisho.
Hivyo swali lako linabaki kuwa la kitoto na linaonyesha unambishia Mungu wangu ambaye humuelewi.

Issue ya Cain na Abel inaeleza matukio haieleze time frame ya matukio hivyo maelezo yangu yanacover ni uvivu wako wa kutafakari unakusumbua. Unatakiwa ujue maana ya MTU kufukuzwa kwenye "USO wa Mungu" kufukuzwa kwenye USO wa Mungu sio saw a na kufukuzwa kwenye dunia au kufukuzwa kwa namna ya wewe na mzazi wako. Unatakiwa ujue aina ya uhusiano waliokuwa nao Adam na familia yake kwa upande mmoja na Mungu kwa upande mwingine kwa wakati na mazingira Yale.

Kuhusu nchi ya Nod na kupata mke nimekupa Assignment utafute maana ya kufukuzwa kwenye USO wa Mungu Kama ndipo kufukuzwa Duniani.

Mimi sizungumzii sasa na wala genesis haizungumzi sasa. Jifunze kutafakari mkuu.
Habari ya malaika na kukutana na wanadamu usiiweke kwenye Modern life na mazingira haya.
Ninapodhani Nina maana kukubaliana na nadharia Fulani kuliko nyingine. Hii ya malaika ndiyo yenye mashiko kwangu.
Issue ya mchanganyiko wa casts za binadam zijazungumzia lakini tofauti ziluxopo zinaweza kukupa mwanga. Sio kwamba wewe umepewa akili ili uwe unauliza maswali nawe unawajibika kujiuliza maswali na kutafuta majibu ya maswali unayojiuliza.

Mwendo wa taratibu uambatane na wewe kujibu hoja unazowekewa, rudi uliponinukuu uangalie hoja uzijibu ili mjadala uwe na faida kwetu sote. Kama huwezi kujibu hoja lakini unataka wewe ndiye ujibiwe tu.
Nasikitika kwamba nitakuweka kundi LA maroboti au msukule
 
Bado nasisitiza uwe inajubu hoja unazopewa nawe ndipo uweke hoja zako.
Hoja zako zinathibitisha jinsi unavyokariri badala ya kuhariri.
Ninaomba hoja zako ziweke hapa kwenye comment hii nizione.
Halafu ninaona unakwepa kujibu kiaina. Mimi ni mtu mzima nimekuelewa. Ingependeza sana ungekuwa unaweka vifungu kutoka kwenye kitabu na ukawa unatolea maelezo hatua kwa hatu.

Je unaongelea nini kuhusu
Genesis 1:1 In the beginning God created the heaven and the earth.
 
Back
Top Bottom