Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Ndugu acha majibu ya ujanja ujanja, mimi nimeuliza na swal liko open kbs unapaswa unielimishe juu ya unachokipigania kweny bandiko lako. Hiyo tafiti umetoa wap juu ya mtu kua shujaa kuamua tu.Kama wewe humtambui basi siwezi kukulazimisha kama katika yote alofanya hakuna uliloona nitakuaminishaje sasa..!
Unapoteza muda kumlilia muuaji.Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu.
Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi Watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani.
Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa. Lakini hilo wasioitakia mema nchi yetu halikuwapendeza kwa kuwa alizuia maslahi yao yaliyopatikana kwa njia haramu.
Watu wengi walijitokeza kumpinga lakini yeye hilo halikumkatisha tamaa; alizidi kuitumikia nchi yake Tanzania kwa uzalendo wote mpaka pale walipofanikisha adhma yake. Leo wanatamba. Eti legacy ijitetee.
Ukitazama mazingira ya kifo chake kwa kweli sio siri yanasikitisha. Ni kama vile kuna kitu nyuma yake ambayo ilikuwa a long plan ambayo ilihusisha kupoteza roho za watu wengi wasio hatia ili kutimiza lengo lao ionekana ni normal case but i think is not okay.
But I believe kama ni mipango ya watu walitakalo halitafanikiwa.
Tazama: Inafikirisha sana tangu afariki Magufuli Matangazo ya Tanzia yamekwisha, is this a coincidence au? Au planned to justify someone death?
Hapana waliohusika it's better watafutwe haiwezekani wao ndio wawe wanatuamulia nchi iweje!
Narudia tena haiwezekani, Tanzia Tanzia Tanzia, then kimya ina maana ile Corona iliokuwa ikiua viongozi sasa imekwisha au tuingoje hata lini? There is something fish planned and not a coincidence. Sure.
I'll always remember Hayati JPM.
I'm ready kupopolewa na Ufipa.
Muwe na usiku mwema.
Sasa unadhani hata nikikueleza utanielewa..! Sidhani bora nichillNdugu acha majibu ya ujanja ujanja, mimi nimeuliza na swal liko open kbs unapaswa unielimishe juu ya unachokipigania kweny bandiko lako. Hiyo tafiti umetoa wap juu ya mtu kua shujaa kuamua tu.
i 6 chiniKwanini huamini kwenye kile unachokisema? Jenga hoja acha kijihami, tafuta kuna Uzi wa MATAGA humu unaeleza kuwa Magufuli alikiri Mara kadhaa kuwa ni mgonjwa!
Nakushauri watafutie wanao ugali, Magufuli tulimpenda ila ameshapumzika, maisha lazima yaendelee na Mungu akutie nguvu utoke kwenye hii denial.
Mzee mimi nna akil timamu kbs, tafadhali toa sababu za msingi juu ya ushujaa then uone ntaelewa au la. Otherwise umeandika usichokijua na hii kitu ni mbaya sana kuleta hoja bila kujua jinsi ya kuitetea hoja yako. Think about itSasa unadhani hata nikikueleza utanielewa..! Sidhani bora nichill
Nadhani ili kumaliza kiu yako nenda Chato kalale kwenye kaburi lake angalau kwa siku 40Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu.
Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi Watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani.
Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa. Lakini hilo wasioitakia mema nchi yetu halikuwapendeza kwa kuwa alizuia maslahi yao yaliyopatikana kwa njia haramu.
Watu wengi walijitokeza kumpinga lakini yeye hilo halikumkatisha tamaa; alizidi kuitumikia nchi yake Tanzania kwa uzalendo wote mpaka pale walipofanikisha adhma yake. Leo wanatamba. Eti legacy ijitetee.
Ukitazama mazingira ya kifo chake kwa kweli sio siri yanasikitisha. Ni kama vile kuna kitu nyuma yake ambayo ilikuwa a long plan ambayo ilihusisha kupoteza roho za watu wengi wasio hatia ili kutimiza lengo lao ionekana ni normal case but i think is not okay.
But I believe kama ni mipango ya watu walitakalo halitafanikiwa.
Tazama: Inafikirisha sana tangu afariki Magufuli Matangazo ya Tanzia yamekwisha, is this a coincidence au? Au planned to justify someone death?
Hapana waliohusika it's better watafutwe haiwezekani wao ndio wawe wanatuamulia nchi iweje!
Narudia tena haiwezekani, Tanzia Tanzia Tanzia, then kimya ina maana ile Corona iliokuwa ikiua viongozi sasa imekwisha au tuingoje hata lini? There is something fish planned and not a coincidence. Sure.
I'll always remember Hayati JPM.
I'm ready kupopolewa na Ufipa.
Muwe na usiku mwema.
Ujinga mtupu ulio andika hapa na unaonekaka hujui hata ni kwa namna gani mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali anavyo fanya kazi mtu wenu hakuwa masafi na kwa kulijua hilo akajificha kwenye mgongo wa kuita watu wanyongeThe so-called Prof Assad alijitumbua mwenyewe. Ile ripoti ilikuwa seconded na the then president Magufuli. Akaambiwa waichambue in and out kwa kuwapatia semina viongozi husika. Yeye akaelewa kuwa alitakiwa kwenda kuitukania nchi yetu huko USA. Hakuna mtu mwenye busara ambaye angemvumilia hata kidogo.
Dr Magufuli stands out in his humility and self-deprecation. He shuns wealth, and fame. In a country where thieves are celebrated, and murderers elevated — Dr Magufuli is the one public servant who forsook worldly possessions. Mark 8:38 asks: “For what shall it profit a man, if he shall gain the whole world and lose his own soul?” Methinks the author in the good book must have had Dr Magufuli in mind.Nadhani ili kumaliza kiu yako nenda Chato kalale kwenye kaburi lake angalau kwa siku 40
Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Ahahahaaaa [emoji16][emoji23][emoji1787]. Endelea. Mama Janet mwenyewe keshajiendea Dsm, we endelea kuomboleza .Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu.
Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi Watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani.
Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa. Lakini hilo wasioitakia mema nchi yetu halikuwapendeza kwa kuwa alizuia maslahi yao yaliyopatikana kwa njia haramu.
Watu wengi walijitokeza kumpinga lakini yeye hilo halikumkatisha tamaa; alizidi kuitumikia nchi yake Tanzania kwa uzalendo wote mpaka pale walipofanikisha adhma yake. Leo wanatamba. Eti legacy ijitetee.
Ukitazama mazingira ya kifo chake kwa kweli sio siri yanasikitisha. Ni kama vile kuna kitu nyuma yake ambayo ilikuwa a long plan ambayo ilihusisha kupoteza roho za watu wengi wasio hatia ili kutimiza lengo lao ionekana ni normal case but i think is not okay.
But I believe kama ni mipango ya watu walitakalo halitafanikiwa.
Tazama: Inafikirisha sana tangu afariki Magufuli Matangazo ya Tanzia yamekwisha, is this a coincidence au? Au planned to justify someone death?
Hapana waliohusika it's better watafutwe haiwezekani wao ndio wawe wanatuamulia nchi iweje!
Narudia tena haiwezekani, Tanzia Tanzia Tanzia, then kimya ina maana ile Corona iliokuwa ikiua viongozi sasa imekwisha au tuingoje hata lini? There is something fish planned and not a coincidence. Sure.
I'll always remember Hayati JPM.
I'm ready kupopolewa na Ufipa.
Muwe na usiku mwema.
Waulize waChina wa Wuhan ni kwanini waliviachia !!Time will tell, nimeshajiapiza moyoni mwangu, endapo itajulikana wazi kabisa alomuua rais wangu. Basi mimi binafsi kwa juhudi zangu binafsi na kwa njia yoyote ile uchawi, ama hadharani, lazima nimuue.
Mimi sio mchawi ila nitautafuta kwa gharama yoyote popote hapa duniani ili niue ikiwezekana kwa mkono wangu mwenyewe.
Aliomuua ni ujinga wa kuona nyungu inazuia na kuponya corona. Pambana umuue ujinga kama ule aliokuwa nao marehemuTime will tell, nimeshajiapiza moyoni mwangu, endapo itajulikana wazi kabisa alomuua rais wangu. Basi mimi binafsi kwa juhudi zangu binafsi na kwa njia yoyote ile uchawi, ama hadharani, lazima nimuue.
Mimi sio mchawi ila nitautafuta kwa gharama yoyote popote hapa duniani ili niue ikiwezekana kwa mkono wangu mwenyewe.
Aliyekuwa anajitahidi kukiua amekufa kabla hakijafa [emoji102][emoji1787]huwa nawaambia hawa nyumbu 6 humu.
watembee na huko nje wajionee namna chama kilivyojifia.
Pole sana,Habari
Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.
Kuna group linaitwa Chadema in blood kule facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko instagram ndiyo balaa kabisa, njoo Jamii forum hali ni hiyo hiyo!
Nimeangalia comments za kwenye hotuba ya Mbowe aliyoitoa akisema vibaya utawala wa hayati Magufuli, kwa kweli ni huzuni raia walivyomtukana Mbowe. Swali la kujiuliza Chadema imefikaje huku?
Enzi za Dr Slaa ulikuwa unavaa gwanda la Chadema kwa maringo yote, leo tuvae kwa aibu ya kujifichaficha?
Je, Tundu Lisu ameharibu image ya chama baada ya kuanza kutetea mabeberu?
Je, ni Mbowe ameharibu image ya chama baada ya kuwa anaangushwa na konyagi anasingizia amepigwa na wasiojulikana? au ule uongo wake wa kuibia familia inapompeleka mahakamani anasingizia amefungiwa akaunti zake na serikali?
Kiukweli inahitajika tathimini ya haraka sana kuikoa na kuirudisha Chadema kwa wananchi ili waiamini tena kama zamani.
Umefanya la maana kujiweka tayari, maana kwa ugoro uliouweka hapa, kwa mwenye akili timifu lazima akutwangeKila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu.