A.Lusekelo( Mzee wa Upako, Pombe Si DHAMBI, ni kosa.

Divai Si pombe.

Divai waliyokunywa haikuchachuliwa.

Hawakulewa. Nenda Israel hata Leo, divai hiyo utaikuta.

Kimbia haraka manabii fake,

Wapo manabii wa Kweli nenda kwao.
Acha Uongo na Ujuaji

Divai = Mvinyo

Wine = Mvinyo

Kwahiyo, DIVAI = WINE

Ili iitwe Mvinyo ni lazima ichachushwe,

Vinginevyo ingeitwa maji ya mzabibu...mahali pengine Biblia ilitumia neno maji ya mzabibu kama haikuwa imechachushwa

Lakini kwa hapo ilikuwa ni Mvinyo, ILA Mvinyo ilikuwa inatumika kama Dawa ya tumbo na kuwezesha Digestion na mpaka leo hii Israel na ukanda wote wa Mediteranean wanatumia mvinyo kila baada ya kula chakula hasa nyama kwenye hafla na ilikuwa heshima

Utamaduni huo upo mpaka leo ukanda ule yaani nchi za SPAIN, ITALY, ISRAEL, GREECE, ROMANIA na zingine za Wakristo kasoro kina Palestina, Lebanon n.k
 
Jamaa anapiga tungi Mimi nimekaa sana jirani na kanisa lake Kuna siku laivu kabisa yupo tungi alikua anagombana na muuza chips mmoja ivi
Juzi ametangaza hadharani tena madhabahuni kuwa Yeye ni chama la walevi.
 
Divai ni wine na wine ina kilevi ndani yake.

Kapitie upya maduhuli yako, sema kiwango cha kilevi ndani ya divai sio kikubwa kwa divai ambayo haijakaa muda mrefu.
Huyu hajui chochote
 
Watu hunywa pombe Ili walewe!!

Acha chenga, kataa ulevi.
 
Walevi wanaompambania mlevi mwenzao

Nyie mkiamua kulewa
Leweni tu bila kuanza kutafuta justification,
Fainali Kwa Mungu .
 
konyagi zitammaliza 🐒
 
Alibadili maji kuwa Divai isiyochachiliwa, ambayo Si pombe ni Juc.

Yesu ni Mungu, hawezi tengeza pombe.

Amen
Haiwezi kuitwa Divai kama haijachachuka

Ikishachachuka inaitwa Mvinyo

Divai ni Mvinyo

Isipochachuka inatwa Maji ya mzabibu au Juice

Yesu akitengeneza Divai ambayo ni Mvinyo lakini watu harusini hawakunywa kulewa
 

1 Tim 5:23​

Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako,l.
Hata dawa ya kikohozi ya mafua, Mucoline Ina Alcohol kama dawa, Si ulevi.

Hiyo ilitumika kama dawa, na wote Huwa tunatumia.
 
Wacha Uongo, Wine ni Dawa pia sio lazima kulewa

Mimi ninakunywa wine nusu glass kwaajili ya Digestion na ni dawa kwa wale wenye Constipation

Mpaka leo Waisrael wanatumia kwasababu hiyo

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Ficha tu, Ukiwa mwenyewe unakunywa na kulewa vizuri tu.

Dhamira Yako ni shahidi na itakushuhudia siku ya mwisho na kutupwa motoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…