Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Hujasoma kitu kama hiki kwenye chupa za wine za shampene, hasa zile kwenue sherehe mbslimbali; alcohl=0 Ma Mc huwa wanasaidia kusoma kwa wale wasiokunywa vileo waeleweZinaitwa fruits of Vine na sio wine mkuu...
Biblia imetaja wine na fruits of vine mara moja kwa yesu tu aliposema mbinguni kitakuwa na Hiyo fruits of vine!
Haina tofauti mkuu Msichanganye mambo me huwa nachukia mtu kupindisha Mambo kwa manufaa yakeSoma maandiko vizuriii......divai iliyotengenezwa na Yesu sio sawa na hizi pombe za sasa...Yesu ni Mtakatifu hawezi tengeneza kitu kitakachomuangamiza mtu
Nimeelewa kabisa kuwa, ndani ya pombe mna ufisadi hivyo compaign ni kuwa,Anhaa kwahyo hapo.Tumeelewana maana kunywa na kulewa ni vitu viwili tofauti..
Ulevi ndo mbaya ila kunywa hakujakatazwa..
1 Timotheo 5:23
Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.
Drink no longer water, but use a little wine for thy stomach's sake and thine often infirmities.
Mkuu nakuelewa usemalo ila technolojia hiyo haukuwepo kipindi cha yesuHujasoma kitu kama hiki kwenye chupa za wine za shampene, hasa zile kwenue sherehe mbslimbali; alcohl=0 Ma Mc huwa wanasaidia kusoma kwa wale wasiokunywa vileo waelewe
Si kunywa tu bali walifurahi na kuburudikaMimi sio mlokole na sisali kwake ila pombe sio dhambi,ulevi ni dhambi.Yesu kwenye harusi ya Kana alitengeneza divai na watu walikunywa,kila kitu kinapaswa kuwa kwa kiasi.Anaweza kuwa nabii wa uongo ila ameongea ukweli.
KATAA POMBE NA ULEVI KIJANA.Huu uzi tuwaachie Wasabato na Wakatoliki watunishiane misuli ya imani 😃
Ndo ujue walikunywa maji ya matunda ya mzabibu😀Mkuu nakuelewa usemalo ila technolojia hiyo haukuwepo kipindi cha yesu
Vipi kuhusuNimeelewa kabisa kuwa, ndani ya pombe mna ufisadi hivyo compaign ni kuwa,
"KATAA POMBE NA ULEVI WA POMBE🙏"
Nawe akili zako nzito mnoo. Nabii kasema ulevi ni dhambi sasa wamkimbie kwa lipi?(1 Wakorintho 6:9-11)
Bali walevi, hawataurithi ufalme wa Mungu.
Mkimbieni haraka Nabii huyu wa uongo.
Ninakubaliana na hili japo ninakunywa bia 2 tu tena hiyo moja ninamalizia kwa shida maana siyo mnywaji!Mimi sio mlokole na sisali kwake ila pombe sio dhambi,ulevi ni dhambi.Yesu kwenye harusi ya Kana alitengeneza divai na watu walikunywa,kila kitu kinapaswa kuwa kwa kiasi.Anaweza kuwa nabii wa uongo ila ameongea ukweli.
Dah haya bhna huu mjadala huu 🤣🤣Ndo ujue walikunywa maji ya matunda ya mzabibu😀
Ile Divai alioitengeza Yesu kimiujiza, ilikuwa supa, haijachacha wala, kuchachukaMkuu nakuelewa usemalo ila technolojia hiyo haukuwepo kipindi cha yesu
Divai ni pombe halisiDivai Si pombe.
Divai waliyokunywa haikuchachuliwa.
Hawakulewa. Nenda Israel hata Leo, divai hiyo utaikuta.
Kimbia haraka manabii fake,
Wapo manabii wa Kweli nenda kwao.
Uliionja? Yaani wewe ni kizee hivyo?Ile Divai alioitengeza Yesu kimiujiza, ilikuwa supa, haijachacha wala, kuchachuka
maana yake alcohol ilikuwa 0
Mkuu ngoja nikusahihishe kidogo..Ile Divai alioitengeza Yesu kimiujiza, ilikuwa supa, haijachacha wala, kuchachuka
maana yake alcohol ilikuwa 0
Wewe una bongo maji. Unaambiwa maneno yako uliyoyasema kwamba Yesu alitengeneza juice yatolee maandiko, unaruka na irrelevant verse.Nimekupa Hilo 1 Corinthians 6:9-11
Inasema walevi hawataurithi ufalme wa Mungu.
Mbinguni walevi hawaingii sababu kule hakuna kulewa.
ELEWA MAANDIKO basi.
Bado unamsapoti lusekelo. Yeye anahalilisha kunywa pombe ila usilewe. Na huo mstari umeongelea ulevi aka kulewa sio kunywa pombe.(1 Wakorintho 6:9-11)
Bali walevi, hawataurithi ufalme wa Mungu.
Mkimbieni haraka Nabii huyu wa uongo.
Kwahiyo Lusekelo alipokunywa na Kutoa lugha chafu hakulewa?Bado unamsapoti lusekelo. Yeye anahalilisha kunywa pombe ila usilewe. Na huo mstari umeongelea ulevi aka kulewa sio kunywa pombe.
ukinywa pombe mfano kwenye sherehe lazima ulewe, kama sio wewe basi miongoni mwenu; swali kuna sehemu waliandika kuwa waliokunywa mvinyo ule miongoni mwao, kuna waliolewa?Mkuu ngoja nikusahihishe kidogo..
Fungu hilo kwa kigiriki ni..(Yohana 2:3)
"καὶ ὑστερήσαντος οἴνου λέγει ἡ μήτηρ τοῦ Ἰησοῦ πρὸς αὐτόν· οἶνον οὐκ ἔχουσιν."
Inatamkwa..
kaì hysterántos oínou légei hē mḗtēr toû Iēsoû pròs autón: oînon ouk échousin."
Sasa nenda tafuta maana ya "οἶνον" (oinon)...
Hiyo maana yake ni Mvinyo au Pombe..
Kwahyo msidanganye watu
Kazi kweli kweliAmeongea hayo madhabahuni kuwa, BIBLIA haijakataza pombe,Wala kulewa, BIBLIA imekataza ulevi.😳😳
Amedai kuwa pombe haijakatazwa kwenye BIBLIA, uliokatazwa ni ulevi, ndo sababu ulevi wa pombe ukazuiwa.