Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Doh 😀😀Hela ya faa nini wewe kama huna mume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Doh 😀😀Hela ya faa nini wewe kama huna mume
Njoo nikuoe mchongo wa pesa sasaDoh 😀😀
PMInterview itafanyika wapi kwa shortlisted candidates.?
Hello Missy Gf pitia na hapa maana umempa ushauri mzuri sana huyu Mwamba kwenye ule uzi wake. Yawezekana wewe unaye weza kuuponya moyo wakeI need a woman with a good shape to marry from all Tribe except a Haya, Nyakyusa, Nyaturu, Jita, Kurya,Chaga,Ngoni and other related to those.
should be aged 25 to 30.
Able to understand shortly and hardworking.
Any level of education in any Falcuty ,but those with finance,accounting,Computer engineering, IT or Telecom are adorable.
I Am non-religionist
I Am 35 years old.
I have 3 children.
With mixed educational and knowledge background.
I am a businessman.
I don't like noise or drama from a woman.
Living in Dar es Salaam.
I Am Pangwa by tribe.
hard-working is My daily task
Family embracing
NB:A woman with a kid Will be concidered too but only if she will be Able to adhere to my conditions regarding her kid’s papa.
PM me if you are committed
Bhanaaa eeehKwa bahati mbaya nipo kwenye orodha ya hayo makabila aliyotaja...la sivyo ningefosi hadi kwa paroko
Mkuu huyu ni dulla makabila ameainisha makabila yake mapemaaaBhanaaa eeeh
Acha kuzuga aisee 😃😃😃
Mkuu TheForgotten Genious , hebu njoo uongee vizuri na huyu Mrembo 👑 , Campaign Manager wa kujitolea nipo kuhakikisha unabeba na kuweka ndani hii mali safi. Huwa naifuatilia sana humu JF matamshi yake na majibu yake kwa watu.
😃😃😃Mkuu huyu ni dulla makabila ameainisha makabila yake mapemaaa
Kwani amekulipa sh ngapi nikupe double payment😃😃😃
Alikosea bhanaaa yanazungumzika hayo Kabila sio moyo wa mtu.
Oi Bwan Harusi Mtarajiwa TheForgotten Genious , Kampeni Meneji nipo mzigoni kulainisha mambo.
Bhanaaa weeee 🤣🤣🤣Kwani amekulipa sh ngapi nikupe double payment
Halafu sijui kwa nini ,wote waliojitokeza ni makabila hayo,Kwa bahati mbaya nipo kwenye orodha ya hayo makabila aliyotaja...la sivyo ningefosi hadi kwa paroko
Ndipo fate yako ilipoHalafu sijui kwa nini ,wote waliojitokeza ni makabila hayo,
UtumwaSasa ina lengo gani kutumia kiingereza haliakua kiswahili unakielewa na kukiandika vizuri, kweli ntakua muongo kusema kuna shinikizo jingine?