A serious woman to Marry is needed

A serious woman to Marry is needed

Interview itafanyika wapi kwa shortlisted candidates.?
 
I need a woman with a good shape to marry from all Tribe except a Haya, Nyakyusa, Nyaturu, Jita, Kurya,Chaga,Ngoni and other related to those.

should be aged 25 to 30.
Able to understand shortly and hardworking.
Any level of education in any Falcuty ,but those with finance,accounting,Computer engineering, IT or Telecom are adorable.
I Am non-religionist

I Am 35 years old.
I have 3 children.
With mixed educational and knowledge background.
I am a businessman.
I don't like noise or drama from a woman.
Living in Dar es Salaam.
I Am Pangwa by tribe.
hard-working is My daily task
Family embracing

NB:A woman with a kid Will be concidered too but only if she will be Able to adhere to my conditions regarding her kid’s papa.
PM me if you are committed
Hello Missy Gf pitia na hapa maana umempa ushauri mzuri sana huyu Mwamba kwenye ule uzi wake. Yawezekana wewe unaye weza kuuponya moyo wake
 
Hello Missy Gf pitia na hapa maana umempa ushauri mzuri sana huyu Mwamba kwenye ule uzi wake. Yawezekana wewe unaye weza kuuponya moyo wake
Kwa bahati mbaya nipo kwenye orodha ya hayo makabila aliyotaja...la sivyo ningefosi hadi kwa paroko
 
Kwa bahati mbaya nipo kwenye orodha ya hayo makabila aliyotaja...la sivyo ningefosi hadi kwa paroko
Bhanaaa eeeh
Acha kuzuga aisee 😃😃😃
Mkuu TheForgotten Genious , hebu njoo uongee vizuri na huyu Mrembo 👑 , Campaign Manager wa kujitolea nipo kuhakikisha unabeba na kuweka ndani hii mali safi. Huwa naifuatilia sana humu JF matamshi yake na majibu yake kwa watu.
 
Mkuu huyu ni dulla makabila ameainisha makabila yake mapemaaa
 
Kwani amekulipa sh ngapi nikupe double payment
Bhanaaa weeee 🤣🤣🤣
Kijana mwenzangu yupo lonely sana, halafu ushauri wako hapo juu nimeona unaweza ukawa sababu ya kumfanya ajihisi Mfalme kwenye ulimwengu wa pekee yake. You just give a him a self golden chance. Naamini hatokuangusha. Huenda ndio ilikuwa ni siku yako leo kukutana na yule uliyemhifadhia ubavu wake.
 
Back
Top Bottom