Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 5,182
- 9,586
Silagi vinyeo mkuu mm sio bahasha. Mim mtu wa peponi kabisaUjumbe umeupata, sasa km mimi dume si ndo ulete kijambio nikufumue mana unautaka sana..!!
Wewe humu hamna yoyote anayenijua kwa taarifa yako fupi, usichokijua huyo uliyemtag ni member ambaye anapenda kunitania..!! Kumbe huwa unamfatilia??
Wewe kweli ***** 😹😹
Kwahiyo unampenda kalagabao na husemi? Oya mwanangu Kalaga Baho Nongwa kuna mboga huku inakuelewa..!!
Kapuna yoooote, karudi na jeuri top🤣Kuna mstaafu kashalizwa huko 😹😹
Kamtengea muda wa kutosha kumpuna mafao..!!
Nionee huruma jamani, mwenzio yatima😭😭😭😭Ni hivi, nikimtaka muda wowote nampata.
Sasampa za mafao zimetaradadi!
🤣🤣🤣🤣🤣Kweli tena kasema Valentine’s Day anataka mkaishi kituristi France 😜
Ndani ya Parii unabebishwa na muhuni makaveli.
Basi unionjeshe tu 😅 unakua umemshikilia mwenyewe, ananipa kiduchu 🤣Nionee huruma jamani, mwenzio yatima😭😭😭😭
Ama kweli pesa ni shetani🤣🤣🤣
Kauchokozi kapi dogo😄Kwanza kuna kauchokozi ananiletea namzoom tu 😂 ngoja nione mwisho wake!
Unakajua 😂 eti dogo 🤦♀️Kauchokozi kapi dogo😄
Au sio! Teh teh teh teeeeeh!Hahaha hapana haya sio mambo yangu kabisa😅
Maliza kazi bibi🤣🤣🤣Kwanza kuna kauchokozi ananiletea namzoom tu 😂 ngoja nione mwisho wake!
Ndio dogoUnakajua 😂 eti dogo 🤦♀️
Mhmmm shindiiMaliza kazi bibi🤣🤣🤣
Ukinipa hela, nakuachia mazima😋Ngoja niandae mie, najua hiyo ni "yes"
View attachment 3538365
Ma shirima anakusalimia🤣🤣Mhmmm shindii
Mashirima ana mambo mengi shindii, nitakufa na kisukari bureMa shirima anakusalimia🤣🤣