Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

Mhasibu akienda Serikalini anaweza vuta hata M.3 kwa mwezi.
Yaani pamoja na poshoposho.

Aende Serikarini.
Kuna security kubwa na dhamana
Na pia hata kulipiwa mitihani ya CPA tunalipiwa na tunakutana na watu kibao wapo private wanajilipia na kulalamika juu ....mafunzo kibao ...na ukibahatika ukawq mhasibu wa afya kwenye halmashaur madokezo kibao mara polio, mara minyoo,mara busket fund imeingia ....unicef
 
Huo uweka hazina itakuchukua miaka mingapi kuupata,na huko halmashauri mnavyorogana?
 
Kama ni wife mwambie aende serikalini, KWA maana ya ishu ya security na kustaafu benefits. Hata serikali pana bima ya afya pia.
Halafu mbona hakuna tofauti Kati ya hio 7 na 1.6.
Ingekuwa labda 7 m sawa.
Mwambie awahi haraka sana serikalini
Kwa kweli labda angekuwa anapokea kuanzia 3m angebaki hapo ila 1.6 sawa lakini
 
Mimi siaminii hio job security sijui hua najiamini nini ila mimi na mikataba dam dam.
To be honest pia huwa siamini katika the so called job security Bali in win win situation.....kuna bwana mmoja niliwahi kutana nae kaenda katika saili moja ya government ambako salary ni 1.2m na kaacha mkataba wa 2.8m, na communication allowance ya 70 kila week for the so called job security, nilimuacha na maisha yake ila nikapata jibu kwanini watu wa uchumi wa akina flani hawa makinda vijana vijana wanaokuwa kwa kasi katika uchumi hapa Tanzania ni wachache sana

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa, Tatizo watu wanafikiri ni mshahara hadi mshahara ila in reality kuna mambo mengi hapo kati kabla ya mwezi kuisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi niko chuo mwaka wa pili nilibahatika kufanya field kitengo cha mipango kwenye moja ya halmashauri huko mkoa wa Kilimanjaro,kulikua na jamaa mmoja walikua wanamuita Senior economist ila salary yake ilikua ni kama laki 8 na point flan hivi na kuna mwingine walikua wanamuita principle economist salary ikikua Kama 1.1m hivi.hakukua na cha safari wala overtime labda mara chache mno tena walikua wanazigombania.
Sasa kwa Mazingira hayo utakaa utoboe kweli?
 
Je, hiyo kazi ya serikali aliomba au kaletewa tu barua kama ilivyokuwa miaka ya 80/90?
Kuna vitu vingine ukitoa ushauri unakuwa chizi.
Hiyo analysis angeifanya kabla hajaomba.
Soma juu huko nimelitolea ufafanuzi hili swali lako.
 
Halmashauri ,yani kaambiwa akareport kwa mkurugenzi wa halmashauri X.
Halmashauri ni shida sana...akienda aweke miaka mitano ya mpito akijiamdaa kuhamia kwingine.Cha msingi target yake iwe kujiendeleza kielimu ili atafute ofisi nyingine ya serikali kuhamia baadae.
 
Kama ni mke wako wa ndoa bora aiende serikali ili muweze kulinda ndoa na kutunza familia!!! Private kuna hela nzuri lkn mambo ni mengi...
 
uuwe unasoma na kuelewa , nimekwambia ajira nyingi za serikali zinahitaji uwe chini ya 30, nafasi ya kupata ajira za serikali its slim and thin ukiwa na above 30, na 45 ni mwisho kabisa
Serikali inaajiri mwisho miaka 45.

Kwasababu Ajira za serikali ni permanent and pensionable.

Na kisheria ili uwe na sifa za kupata pension lazima uchangie kwa miaka 15 ( miezi 180 ).

Ndio maana, Kama ukiajiriwa ukiwa na miaka 45, umri wa kustaafu kwa lazima ni miaka 60 Utakuwa umetumikia kwa miaka 15 then unakuwa una sifa ya kupata pension.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…