Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

Good one
 
Kuna vutu vingu vya kuangalia. Kama hakuna extra money zaidi ya hiyo 1.6 M unayoipata bhas nenda kwenye TGS ila pia nako angalia kuna advantages zipi. Lazima upime benefits ndipo uamue kuwa unafanya aje, wengi tumekuwa na hizo options mara kadhaa tumezisolve kwa cost of opportunity.
 
That's not the point...ni changamoto ya kuanza upya na kuhamisha familia yote , then mkeo au mumeo naye aache kazi yake akufuate, swali lake kila kitu ni risk tuu na hakuna guarantee kwa atakachofikiria , chochote kinaweza kutokea
Ukiwa mwajiriwa wa public suala la kuhamishwa linakuwa guaranteed be prepared otherwise uwe mkulima tu au uanzishe biashara zako.
 
Madam Faiza long time no see. Unaendeleaje?
 
Nice to see you here mkuu FaizaFoxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…