sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Dah… mguu wake wa kushoto una shida gani?View attachment 2266487
Ana sura nzuri.
Ni mrembo.
Anapendeza kila nguo.
Ana swaggs.
Ana mvuto.
Hakuna mtangazaji yoyote wa kike anaemfikia East Africa.
Umemkomesha kabisa.Kama huyo kwako NI mrembo Basi nikuhakikishie utakuwa na MINYOO inakusumbua..
Aaliya Komwe limetokea kumwaribia uzuri wote..linamwangusha sn Kwa kweli!!
Fuvu halipunguziki mkuu..labda waoteshe nywele km Rooney pale mbeleSi aende uturuki kulipunguza kwani anashindwa nini
Daaah wanawake mna wivu! Basi wewe ndio mremboKama huyo kwako NI mrembo Basi nikuhakikishie utakuwa na MINYOO inakusumbua..
Aende radio haina wasikilizaji atapotea kama madevuhuyu dada natamani angekaa pale kwenye empire gang ya efm ingekuwa chemistry nzuri sana dada mnyamwezi sana she gotta swagg accents flani ya kinyama