Aaliyah ndio mwanamke mzuri na mrembo kuliko watangazaji wote wa kike East Africa

Aaliyah ndio mwanamke mzuri na mrembo kuliko watangazaji wote wa kike East Africa

Hivi wa Tanzania roho mbaya mtaacha lini? Huyo aliyeanzisha mada hayo ni mawazo yake, sasa kwa nini kupinga mawazo yake uanze kumtukana huyo dada kwani amewakoseeni nini? yani watu mna chuki na roho mbaya sana.

Kwani ukisema ni mrembo utapungukiwa nini? unakuta anaye comment hivyo ni wivu na chuki tu.

Ukweli huyo dada ni mrembo, anapendeza machoni.
 
😆😆 kila nikisoma koment narudi kumuangalia.. mana si kwa kumpopoa hvyo
 
Kama hana tako basi uzuri wake hauna maana yoyote maana ana komwe
 
Wanawake wote ni warembo sema inategemea tu huku chini mzee wa kazi kaamka vipi
 
Back
Top Bottom