Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,553
[emoji23][emoji23][emoji23] Daah!! Mambo ya JF hayoKama huyo kwako NI mrembo Basi nikuhakikishie utakuwa na MINYOO inakusumbua..
Wanaoponda ni wivu, wakiweka sura zao hapa unaweza dhani ni predator.😆😆 kila nikisoma koment narudi kumuangalia.. mana si kwa kumpopoa hvyo
Aseee kwakweli mapenzi upofu ...huyu nae ni mrembo kuliko watangazaji wote wa kike .....
Ana sura nzuri.
Ni mrembo.
Anapendeza kila nguo.
Ana swaggs.
Ana mvuto.
Hakuna mtangazaji yoyote wa kike anaemfikia East Africa.
Nilidhan mlemavuMagoti hovyo mabovu
Ana sura nzuri.
Ni mrembo.
Anapendeza kila nguo.
Ana swaggs.
Ana mvuto.
Hakuna mtangazaji yoyote wa kike anaemfikia East Africa.
Aaliya Komwe limetokea kumwaribia uzuri wote..linamwangusha sn Kwa kweli!!
Katiba inakuruhusu kusema unayoyasema. Hamna sura yoyote hapo.
Ana sura nzuri.
Ni mrembo.
Anapendeza kila nguo.
Ana swaggs.
Ana mvuto.
Hakuna mtangazaji yoyote wa kike anaemfikia East Africa.
Uhuru wa kujieleza umezidi sasa.Kwa nini unanidanganya?
Ana sura nzuri.
Ni mrembo.
Anapendeza kila nguo.
Ana swaggs.
Ana mvuto.
Hakuna mtangazaji yoyote wa kike anaemfikia East Africa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38] kila nikisoma koment narudi kumuangalia.. mana si kwa kumpopoa hvyo