Aandika ujumbe akiwa amefukiwa na ghorofa Kariakoo, "Leo ni siku yangu ya mwisho"

Aandika ujumbe akiwa amefukiwa na ghorofa Kariakoo, "Leo ni siku yangu ya mwisho"

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Daaa hii post ya mdau imenifikirisha na kuniwadhisha Sana daah mungu aingilie kati aisee maana sio poa kabisa wana Wana struggle sana! Mungu aingilie kati 👇👇👇

Pia soma > Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16

Kkoo.jpg
 
Siasa siasa siasa!.

Naona mmoja kaandika kwa kuguswa na rushwa, ila mtoa mada kaguswa na andiko la raia aliye chini ya jengo lililoanguka ambaye anaaga kwa sisi tulio hai huku.

Hiyo ni kutokana na ukosefu wa utendaji wa viongozi ambao kwa sasa wanaipa nguvu siasa kuliko kuwajibika kwa raia.

Hiyo kauli ya huyo Mtanzani mwenzetu huko chini haina tofauti na anayetekwa mbele ya macho ya raia wengine wanaotazama.
 
Back
Top Bottom