Aandika ujumbe akiwa amefukiwa na ghorofa Kariakoo, "Leo ni siku yangu ya mwisho"

Aandika ujumbe akiwa amefukiwa na ghorofa Kariakoo, "Leo ni siku yangu ya mwisho"

Daaa hii post ya mdau imenifikirisha na kuniwadhisha Sana daah mungu aingilie kati aisee maana sio poa kabisa wana Wana struggle sana! Mungu aingilie kati 👇👇👇View attachment 3153720
Dah, so pain, inasikitisha sana Mungu wangu, ingekuwa nchi za wenzetu wangeokolewa wote hao , Mungu atie wepesi watoke salama wote inshallah
 
Hapo cha kufanya ni kuitisha kampuni zote za ujenzi, mwenye excavator alete, mwenye caterpillar aje nalo, mwenye malori aje...

Nadhani kazi ingalifanyika kwa uharaka na umakini, waitwe engineers n.k
Umewaza vyema sana aisee, na hizo mashine za ujenzi zipo hapohapo Kariakoo kwenye jenzi mbalimbali zinazoendelea. Wanaweza kabisa kuokoa maisha ya wenzetu hao
 
Iyo comment ya attention seeker iyo.
Mmmhhh
Wa MV Spice Islander waliobaki baki juu ya meli walikuwa wanapigia simu ndugu na jamaa wakiwaambia km mali inazama na wanakufa.
Na huyu jamaa katuma ujumbe kuomba tuwaombee watoke salama
Angalau huyu kawa brave, wengine ndio unaona hapo wamezimia. Hamna attention seeker hapo unakufa unajiona
 
Hapo cha kufanya ni kuitisha kampuni zote za ujenzi, mwenye excavator alete, mwenye caterpillar aje nalo, mwenye malori aje...

Nadhani kazi ingalifanyika kwa uharaka na umakini, waitwe engineers n.k
Umenikumbusha tukio la mtt waloingia kwenye kisima kule Morocco. Watu walipiga kazi usiku na mchana kwa muda wa siku 5 bila kupumzika mpk wakampata mtt ingawa alifariki wakati anatolewa lkn ule ushirikiano waliouonesha serikali na wanannchi sio maskhara. Na hapo ilikuwa roho ya mtt mmoja tu
 
Mdau upo kama mimi kwenye ku smell something fishy. Huo muda wa kuandika hivyo ukiwa kwenye panic mode ni uongo wa hali ya juu. Ni muhuni anatafuta attention tu.
Unaweza mkuu.
Kuna watu wapo brave, believe me.
Unakumbuka tukio la ndege ilioanguka na kuua watu wote...hadi video zilirushwa. Na kuna watu walifanya mawasiliano na watu wao na lilikuwa tukio la fasta.
Nishasahau ilikuwa nchi gani. Lkn ndege ilikuwa Boeing
 
Umenikumbusha tukio la mtt waloingia kwenye kisima kule Morocco. Watu walipiga kazi usiku na mchana kwa muda wa siku 5 bila kupumzika mpk wakampata mtt ingawa alifariki wakati anatolewa lkn ule ushirikiano waliouonesha serikali na wanannchi sio maskhara. Na hapo ilikuwa roho ya mtt mmoja tu
Ukishajifikiria ajali kesho inaweza tokea kwako, kwa ndugu yako au wewe binafsi lazima uone thamani pia ya uhai wa mwenzako... Na ujisikie uchungu juu ya hali ya mwingine... Kwa hapa kwetu hili naona halipo , wachache watathamini...

Viongozi ndio hao wamelewa madaraka wanaona ajali, vifo na magonjwa ni kwa ajili ya watu wa chini pekee.... So sad...
 
Back
Top Bottom