Aandika ujumbe akiwa amefukiwa na ghorofa Kariakoo, "Leo ni siku yangu ya mwisho"

Unaweza mkuu.
Kuna watu wapo brave, believe me.
Unakumbuka tukio la ndege ilioanguka na kuua watu wote...hadi video zilirushwa. Na kuna watu walifanya mawasiliano na watu wao na lilikuwa tukio la fasta.
Nishasahau ilikuwa nchi gani. Lkn ndege ilikuwa Boeing
Near death experience watu wanaisikia tu..

Ni kipindi kigumu na mtu anaweza kufanya kitu ambacho kinashangaza...
 
Na wanao acha ujumbe na kujinyonga huwa wanapata wapi huo ujasiri?
Kujinyongaa kashajianda kisaikolojiaa tofauti na huyu yy kasikia tu paaaaa mara gizaa ,,hapo utashika sm au utatafutaa njiaa ipo wapi utokeee😔😔😔

Akili mtu wanguu
 
Hapo cha kufanya ni kuitisha kampuni zote za ujenzi, mwenye excavator alete, mwenye caterpillar aje nalo, mwenye malori aje...

Nadhani kazi ingalifanyika kwa uharaka na umakini, waitwe engineers n.k
Ukijaza machine hapo unaweza zika watu chini. Hapo ni excavator /kijiko not more than 4 na mobile tower crane kama mbili ili kunyanyua floor na nguzo zilizo kandamiza.
Compressor na breaker zake kama 5.
Pia mbwa ili kusaidia kutambua eneo lenye watu.
 
Kujinyongaa kashajianda kisaikolojiaa tofauti na huyu yy kasikia tu paaaaa mara gizaa ,,hapo utashika sm au utatafutaa njiaa ipo wapi utokeee😔😔😔

Akili mtu wanguu
Ukiwa ndani ya kifusi usifikiri wamebanwa na vyuma ama matofali, kuna ambao wapo kwenye vyumba na havijaharibika lakini pa kutokea na njia ya hewa ni mtihani...

Kuna mama wa familia moja Brazil alituma texts kabla ya ndege kupata ajali na kuua abiria 62 akiwemo... Alimtumia messages na mama yake...

Inatokea sana mzee...
 
Hapo cha kufanya ni kuitisha kampuni zote za ujenzi, mwenye excavator alete, mwenye caterpillar aje nalo, mwenye malori aje...

Nadhani kazi ingalifanyika kwa uharaka na umakini, waitwe engineers n.k
Wala huitaji makampuni mengi, vifaa alivyonanyo Yapi Markez hapo maeneo ya ngozi nakuhakikishia ndani ya 10 hrs hicho kifusi ungekitafuta, ni suala la kufunga njia Kwa magari mengine Ili dump truck zifanye KAZI yake Tena kifusi Wala hupeleki mbali ni hapo tu jangwani
 
Sio muda huu usi utaungwnishwa kule uzi mkuu, jf siku hizi ni kama wana kacommission toka serikali kuu.
 
Ukiwa ndani ya kifusi usifikiri wamebanwa na vyuma ama matofali, kuna ambao wapo kwenye vyumba na havijaharibika lakini pa kutokea na njia ya hewa ni mtihani...

Kuna mama wa familia moja Brazil alituma texts kabla ya ndege kupata ajali na kuua abiria 62 akiwemo... Alimtumia messages na mama yake...

Inatokea sana mzee...
Bac sawa mkuu,tumuombeee
 
Wala huitaji makampuni mengi, vifaa alivyonanyo Yapi Markez hapo maeneo ya ngozi nakuhakikishia ndani ya 10 hrs hicho kifusi ungekitafuta, ni suala la kufunga njia Kwa magari mengine Ili dump truck zifanye KAZI yake Tena kifusi Wala hupeleki mbali ni hapo tu jangwani
Kabisa, hili linawezekana..
 
Wala huitaji makampuni mengi, vifaa alivyonanyo Yapi Markez hapo maeneo ya ngozi nakuhakikishia ndani ya 10 hrs hicho kifusi ungekitafuta, ni suala la kufunga njia Kwa magari mengine Ili dump truck zifanye KAZI yake Tena kifusi Wala hupeleki mbali ni hapo tu jangwani
Issue sio kuondoa kifusi...bali ni kutoa watu salama.
 
Hapo cha kufanya ni kuitisha kampuni zote za ujenzi, mwenye excavator alete, mwenye caterpillar aje nalo, mwenye malori aje...

Nadhani kazi ingalifanyika kwa uharaka na umakini, waitwe engineers n.k
Wakati huohuo mkuu wa mkoa anataka sifa, mkuu wa wilaya anataka cheo, waziri anataka ujiko, mkurugenzi anavizia upigaji, serikali kuu inataka kura za wananchi mwakani.

Aloo kaa kwa kutulia tu, hamna namna ni kuomba Mungu tu.
 
Unaweza mkuu.
Kuna watu wapo brave, believe me.
Unakumbuka tukio la ndege ilioanguka na kuua watu wote...hadi video zilirushwa. Na kuna watu walifanya mawasiliano na watu wao na lilikuwa tukio la fasta.
Nishasahau ilikuwa nchi gani. Lkn ndege ilikuwa Boeing
nadhani unasemea ile ndege ya ethiopian max 8 iliyoanguka ikielekea nairobi.
 
Back
Top Bottom