Aandika ujumbe akiwa amefukiwa na ghorofa Kariakoo, "Leo ni siku yangu ya mwisho"

Siasa siasa siasa!.

Naona mmoja kaandika kwa kuguswa na rushwa, ila mtoa mada kaguswa na andiko la raia aliye chini ya jengo lililoanguka ambaye anaaga kwa sisi tulio hai huku.

Hiyo ni kutokana na ukosefu wa utendaji wa viongozi ambao kwa sasa wanaipa nguvu siasa kuliko kuwajibika kwa raia.

Hiyo kauli ya huyo Mtanzani mwenzetu huko chini haina tofauti na anayetekwa mbele ya macho ya raia wengine wanaotazama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…