Abdul Jumbe alikuwa kichwa sana. Pamoja na kupinga muungano wa serikali 2, kumbe alipinga urais usiokuwa na ukomo?

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Kuna kila haja ya kuanzisha kumbukumbu ya Abdul Jumbe hapa nchini. Kwa maoni yangu huyu ndiye mzanzibari mwenye akili na maono mengi.

Huyu mwamba nilipata kufahamu kuwa aliupinga kwa nguvu zake zote huu muungano magumashi wa serikali 2.

Lkn sikupata kufahamu kuwa yeye ndiye kinara wa kupinga urais usiokuwa na ukomo hapa nchini, mpk ikagharimu nafasi yake ya urais wa Zanzibar. Hotuba ya Leo ya Tundu Lisu ndiyo imenifumbua macho.

Abdul Jumbe kongole kwako RIP.

N.B: Mbowe usiturudishe huko, damu ya Abdul Jumbe itakulilia.
 
Kafungiwa Kigamboni hadi mauti yake. Lissu aliishawahi kufanya nini kumsaidia akiwa hai hadi leo ajifanye anamkumbuka?
 
Kuna miamba mingi sana ilikuwa na nia nja ma taifa hili. Mwl Nyerere alilewa madaraka
 
Sukwa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yuko wapi Sukwa? Enzi zetu za chipukizi na chama kushika hatamu

Tanzania ina mambo hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Mzee John Komba akiimba awamu ya pili kabambeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yuko wapi Sukwa? Enzi zetu za chipukizi na chama kushika hatamu

Tanzania ina mambo hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Mzee John Komba akiimba awamu ya pili kabambeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
John Komba alikuwa mwalimu wangu pale Gangilonga Shule ya Msingi kabla hajajiunga na Jeshi la Wananchi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…