Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
HahahqKwani na wewe ulifanya nini wakati wa uhai wake, au ulimpikia ubwabwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahqKwani na wewe ulifanya nini wakati wa uhai wake, au ulimpikia ubwabwa?
Ngoja nikushushia kidago baadae.Nilikisikia hiki kisa juu juu tu,unaweza kuwa na nondo za kisa hiki nami nielimike
NaamNgoja nikushushia kidago baadae.
Kwangu mimi alistahili kupata alichopata ndio maana silalamiki. Hoja yangu, wanaloloma akina Lissu walimsaidiaje?Kwani na wewe ulifanya nini wakati wa uhai wake, au ulimpikia ubwabwa?
Kuna kila haja ya kuanzisha kumbukumbu ya Abdul Jumbe hapa nchini. Kwa maoni yangu huyu ndiye mzanzibari mwenye akili na maono mengi.
Huyu mwamba nilipata kufahamu kuwa aliupinga kwa nguvu zake zote huu muungano magumashi wa serikali 2.
Lkn sikupata kufahamu kuwa yeye ndiye kinara wa kupinga urais usiokuwa na ukomo hapa nchini, mpk ikagharimu nafasi yake ya urais wa Zanzibar. Hotuba ya Leo ya Tundu Lisu ndiyo imenifumbua macho.
Abdul Jumbe kongole kwako RIP.
N.B: Mbowe usiturudishe huko, damu ya Abdul Jumbe itakulilia.
Kupandikiza udini Tanganyika na kusimamia mpango wa kuiua BAKWATA,Kuna kila haja ya kuanzisha kumbukumbu ya Abdul Jumbe hapa nchini. Kwa maoni yangu huyu ndiye mzanzibari mwenye akili na maono mengi.
Huyu mwamba nilipata kufahamu kuwa aliupinga kwa nguvu zake zote huu muungano magumashi wa serikali 2.
Lkn sikupata kufahamu kuwa yeye ndiye kinara wa kupinga urais usiokuwa na ukomo hapa nchini, mpk ikagharimu nafasi yake ya urais wa Zanzibar. Hotuba ya Leo ya Tundu Lisu ndiyo imenifumbua macho.
Abdul Jumbe kongole kwako RIP.
N.B: Mbowe usiturudishe huko, damu ya Abdul Jumbe itakulilia.
Mkuu hapa ni Jamiiforums, kama wewe mwenzetu unajua tofauti na tulichoambiwa, tuwekee hapa. Vinginevyo na wewe tutakuweka kwenye kundi la watanzania unaowalaumu.Moja ya kitu kinachowagharimu watanzania wengi ni kusima, ndio maana wamebaki kushangilia kauli za wanasiasa bila kuchunguza ukweli halisi.
Jumbe aliondolewa mwaka 1984 na mwaka 1985 Nyerere akajiuzulu.
Baada ya kutoka madaraka aloweka ukomo wa rais mtoa mada jiulize hicho unachoambiwa kina usahihi kiasi gani?
Nyerere alianza kuzungumzia kuondoka madarakani tangu miaka ya sabini mwishoni, muasisi wa ukomo wa madaraka ni Nyerere sio JumbeMoja ya kitu kinachowagharimu watanzania wengi ni kusima, ndio maana wamebaki kushangilia kauli za wanasiasa bila kuchunguza ukweli halisi.
Jumbe aliondolewa mwaka 1984 na mwaka 1985 Nyerere akajiuzulu.
Baada ya kutoka madaraka aloweka ukomo wa rais mtoa mada jiulize hicho unachoambiwa kina usahihi kiasi gani?
Hii ndio lugha gani unayoitumia?Kuaba ake huyo seif hatibu huyo kama ukoma kwa sera chafu mungu amuwekr tena panapostahili
John Komba alikuwa mwalimu wangu pale Gangilonga Shule ya Msingi kabla hajajiunga na Jeshi la Wananchi 😂😂😂
Jumbe alikuwa kwenye uongozi toka mwaka 1972 mpaka mwaka 1984 alipoondolewa. Kipindi chote alikuwa hajaona tatizo la ukomo wa madaraka.Nyerere alianza kuzungumzia kuondoka madarakani tangu miaka ya sabini mwishoni, muasisi wa ukomo wa madaraka ni Nyerere sio Jumbe
Mbona taarifa hizi zinapingana. Hii ndiyo kwanza nasikia kwako. Mara nyingi wanaosimulia wanasema Maalim Seif (waziri Kiongozi) ndiye aliyeiba hiyo nyaraka toka AboudJumbe (rais) na kuipeleka kwa Nyereredoc hiyo ikaibwa na Lubuva ofisini kwa Jumbe akapelekewa Nyerere ndipo Nyerere akamsulubu.
Nimekueleza kwa kuweka kumbukumbu, Jumbe aliondolewa 1984. Mwaka uliofuata Nyerere alijiuzulu. Baada ya kyjiuzulu waliweka ukomo wa madaraka kuwa vipindi vizuri. Nyerere aligombana na Kolimba kwa sababu ya kuanza kampeni Mwinyi aongezewe kipindi cha utawala. Kama hayo madai ya Jumbe yangekuwa ya ukweli Basi asingetolewa madarakani.Mkuu hapa ni Jamiiforums, kama wewe mwenzetu unajua tofauti na tulichoambiwa, tuwekee hapa. Vinginevyo na wewe tutakuweka kwenye kundi la watanzania unaowalaumu.
Maalumu Seifu ndiye aliiba.Mbona taarifa hizi zinapingana. Hii ndiyo kwanza nasikia kwako. Mara nyingi wanaosimulia wanasema Maalim Seif (waziri Kiongozi) ndiye aliyeiba hiyo nyaraka toka AboudJumbe (rais) na kuipeleka kwa Nyerere
Sio maalim ni Lubuva wakati huo alikuwa,mwanasheria anayefanyia kazi zanzibar. Nakupa kitu cha uhakika mkuu.Mbona taarifa hizi zinapingana. Hii ndiyo kwanza nasikia kwako. Mara nyingi wanaosimulia wanasema Maalim Seif (waziri Kiongozi) ndiye aliyeiba hiyo nyaraka toka AboudJumbe (rais) na kuipeleka kwa Nyerere
Daaaah... Wewe ndo unasababisha hawa mbwa watutukane watuone wote hatuna akili. Lissu ana nini cha kufanya katika hilo? Sisi CCM tuseme tu tunamtaka MboweKafungiwa Kigamboni hadi mauti yake. Lissu aliishawahi kufanya nini kumsaidia akiwa hai hadi leo ajifanye anamkumbuka?