Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Kuna kila haja ya kuanzisha kumbukumbu ya Abdul Jumbe hapa nchini. Kwa maoni yangu huyu ndiye mzanzibari mwenye akili na maono mengi.
Huyu mwamba nilipata kufahamu kuwa aliupinga kwa nguvu zake zote huu muungano magumashi wa serikali 2.
Lkn sikupata kufahamu kuwa yeye ndiye kinara wa kupinga urais usiokuwa na ukomo hapa nchini, mpk ikagharimu nafasi yake ya urais wa Zanzibar. Hotuba ya Leo ya Tundu Lisu ndiyo imenifumbua macho.
Abdul Jumbe kongole kwako RIP.
N.B: Mbowe usiturudishe huko, damu ya Abdul Jumbe itakulilia.
zanzibar hakujawahi kuwepo Rais anayeitwa Abdul Jumbe labda ulikusudia Aboud Jumbe