Abdul Jumbe alikuwa kichwa sana. Pamoja na kupinga muungano wa serikali 2, kumbe alipinga urais usiokuwa na ukomo?

Daaah....ulichoandika....Mungu anajua. Huna mtu mwenye uelewa au akili anayeweza kukuandikia ili nasi tukuelewe ulichotaka kutuambia.
Unahisi una akili kama Lissu anavyoamini anajua kuliko mtu yeyote Tanzania kumbe ndivyo anavyojidhihirisha alivyo mjinga.
 
Kuna kila haja ya kuanzisha kumbukumbu ya Abdul Jumbe hapa nchini. Kwa maoni yangu huyu ndiye mzanzibari mwenye akili na maono mengi.

Huyu mwamba nilipata kufahamu kuwa aliupinga kwa nguvu zake zote huu muungano magumashi wa serikali 2.

Lkn sikupata kufahamu kuwa yeye ndiye kinara wa kupinga urais usiokuwa na ukomo hapa nchini, mpk ikagharimu nafasi yake ya urais wa Zanzibar. Hotuba ya Leo ya Tundu Lisu ndiyo imenifumbua macho.

Abdul Jumbe kongole kwako RIP.

N.B: Mbowe usiturudishe huko, damu ya Abdul Jumbe itakulilia.
Abdul Jumbe ndo nani tena au unamaanisha Aboud Jumbe au ni wawili tofauti?
 
Kuna kila haja ya kuanzisha kumbukumbu ya Abdul Jumbe hapa nchini. Kwa maoni yangu huyu ndiye mzanzibari mwenye akili na maono mengi.

Huyu mwamba nilipata kufahamu kuwa aliupinga kwa nguvu zake zote huu muungano magumashi wa serikali 2.

Lkn sikupata kufahamu kuwa yeye ndiye kinara wa kupinga urais usiokuwa na ukomo hapa nchini, mpk ikagharimu nafasi yake ya urais wa Zanzibar. Hotuba ya Leo ya Tundu Lisu ndiyo imenifumbua macho.

Abdul Jumbe kongole kwako RIP.

N.B: Mbowe usiturudishe huko, damu ya Abdul Jumbe itakulilia.
Abdul Jumbe hajawahi kuwepo uongozi wa Bara wsla Visiwani.
 
Back
Top Bottom