AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,406
- 4,899
Kuna shida gani mtoto kufuatana na mama yake, mue mnatumia na akili kabla ya kuongea chochote.

Akihutubia katika chuo kimoja huko India JAWAHARLAL NEHRU UNIVERSITY, nchini India Rais amemsimamisha na kumtambulisha mwanae wa tatu Abdul kwenye mkutano huo.
Ikumbukwe kuwa mwana huyu alionekana akiwakilisha nchi kwenye mkutano mmoja na Rais wa nchi ya Uganda mh Yoweri Museveni na sasa kaandamana na ujumbe wa Rais nchini India.
Huyu mwana ana wadhifa gani ndani ya serikali ya Muungano wa Tanzania? Naamini haya ni maswali yasiyoepukika hasa kwa wanaolitakia mema Taifa hasa Kwa masuala ya utawala Bora na kulinda Rasilimali za Taifa .
View: https://youtu.be/fCKlJX19s6w?si=EKNnnJd2Gcag64N_
Salaam aleikhumu .