Naomba usome comment yangu mwanzo mpaka mwisho utaona hakuna mahala nimeandika ninahisi ni kosa, katika mstari wa pili ulipaswa kujibu hoja kwamba alienda Uganda kibiashara na kama museveni ni business partner wake au aliwakilisha jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania kama kiongozi wao na sio kama kiongozi yeyote wa serikali, kwa sbabu hakuna mahala ana uteuzi wowote kisheria kama kiongozi au mwakilishi wa rais, unless useme Tanzania ni nchi ya kifalme hivyo familia inaamua lolote. Kama ipo haja ya kuepuka watoto kuchekwa kama nyerere ni yeye kumuinitiate katika mfumo rasmi wa siasa na uteuzi kisheria kama alivyofanya JK kumuingiza Rodhiwani katika siasa za Tanzania ndio mana hakuna maswali mengi katika hilo. Kuhusu mtoto wa kiongozi aliyevaa jeans na kuingia bungeni nadhani ni nje ya mada. Adios mwelimishe na mwashamba.