Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisa mkuu wala sijaona ubaya mie, halafu yuko india unajua, hahahaha, ngoja nicheke miye.Mtoto wa Rais ,muhimu kutambulishwa kwa wakubwa
Akihutubia katika chuo kimoja huko India JAWAHARLAL NEHRU UNIVERSITY, nchini India Rais amemsimamisha na kumtambulisha mwanae wa tatu Abdul kwenye mkutano huo.
Ikumbukwe kuwa mwana huyu alionekana akiwakilisha nchi kwenye mkutano mmoja na Rais wa nchi ya Uganda mh Yoweri Museveni na sasa kaandamana na ujumbe wa Rais nchini India.
Huyu mwana ana wadhifa gani ndani ya serikali ya Muungano wa Tanzania? Naamini haya ni maswali yasiyoepukika hasa kwa wanaolitakia mema Taifa hasa Kwa masuala ya utawala Bora na kulinda Rasilimali za Taifa .
View: https://youtu.be/fCKlJX19s6w?si=EKNnnJd2Gcag64N_
Salaam aleikhumu .
Acha RamliMama anampambania mtoto wake ili aje kumpiku Ridhiwani kwenye safari ya matumaini ya kurithi kiti cha urais huko mbeleni.
Kama huamini hicho nilichokisema, tunza hii post halafu siku moja utakuja kuniambia.
Kwa kodi gani unayolipa wewe mzululaji .kwani mtoto wa Rais unafikiri hawezi kujilipia nauli? Watanzania wangapi wanakwenda India kwa nauli zao? Kama wanafunzi tu wanafika India iweje na ishindikane vipi kwa mtoto wa Rais kufika India?Pesa za kodi za wadanganyika zinatafunwa mbayaaa!.
Nawewe kashone ili uwe msitari wa pembeniNaona Abdul yupo na kaunda suti nyeusi atakuwa mstari wa mbele tiss huyo.
Sikiliza wewe uliyekosa adabu na mwenye akili ya kiuwendawazimu. Huwezi ukaelewa kitu kutokana na umbumbumbu wako
Uliandika cha maana. Hapa unastahili pongezi 👍🏾Kwani mtoto wa Rais kuwepo mahali hapo ambapo mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania alikuwa anatunukiwa udaktari wa heshima amevunja sheria ipi? Kifungu kipi cha katiba kimevunjwa cha yeye kushuhudia mama yake na Rais wetu akipata na kupewa heshima hiyo ya kipekee inayotokana na utumishi wake na uchapakazi wake uliotukuka kwa Taifa letu? Acheni wivu na chuki zisizo na sababu.Tujikite kwenye mambo ya msingi na siyo umbea umbea tu yenye mawazo ya chuki.
Usipoteze muda wako... hawanaga elimu za kuungaunga haoMwenye CV ya Abduli Suluhu Ailete hapa then tumuache aendelee kuufurahia Urais wa Mama yake.
Sijaelewa kwamba kasoma StanfordUsipoteze muda wako... hawanaga elimu za kuungaunga hao
Unaonekana mtu wa masifa sana na huna akili! Utumwa na ufinyu wa mawazo unakukabili... POLE SANA!Bibi lenu Lina kiingereza kibovu yaani empty headed purely. Huyu ndio apitishwe na CCM 2025 over my dead body, CCM haijaoza kiasi hicho, my third born, there two a head of him, hovyo kabisa
Kama hilo la Rais kuambatana na mwanae kwenye ziara zake kumtambulisha sio jambo la msingi basi mwambie Rais afanye mambo ya msingi aachane na mambo yasiyo ya msingi kama hayo ya kusafiri na familia yake kwenye ziara zake.Kwani mtoto wa Rais kuwepo mahali hapo ambapo mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania alikuwa anatunukiwa udaktari wa heshima amevunja sheria ipi? Kifungu kipi cha katiba kimevunjwa cha yeye kushuhudia mama yake na Rais wetu akipata na kupewa heshima hiyo ya kipekee inayotokana na utumishi wake na uchapakazi wake uliotukuka kwa Taifa letu? Acheni wivu na chuki zisizo na sababu.Tujikite kwenye mambo ya msingi na siyo umbea umbea tu yenye mawazo ya chuki.
Akihutubia katika chuo kimoja huko India JAWAHARLAL NEHRU UNIVERSITY, nchini India Rais amemsimamisha na kumtambulisha mwanae wa tatu Abdul kwenye mkutano huo.
Ikumbukwe kuwa mwana huyu alionekana akiwakilisha nchi kwenye mkutano mmoja na Rais wa nchi ya Uganda mh Yoweri Museveni na sasa kaandamana na ujumbe wa Rais nchini India.
Huyu mwana ana wadhifa gani ndani ya serikali ya Muungano wa Tanzania? Naamini haya ni maswali yasiyoepukika hasa kwa wanaolitakia mema Taifa hasa Kwa masuala ya utawala Bora na kulinda Rasilimali za Taifa .
View: https://youtu.be/fCKlJX19s6w?si=EKNnnJd2Gcag64N_
Salaam aleikhumu .
Weka yako kwanza mkuu.Mwenye CV ya Abduli Suluhu Ailete hapa then tumuache aendelee kuufurahia Urais wa Mama yake.
Dah! Yani kodi zetu wenyewe na serikali yetu halafu sie tena tunaambiwa tuna wivu kana kwamba hapa tunamzungumzia Bakhresa.Huo ni wivu wa kipuuzi sana kwani Samia kuwa rais amekatazwa kusafiri na watoto wake? ,Mtu akiwa rais ana haki ya kuishi na kusafiri na familia yake kokote aendako kama ambavyo hata wewe unasafiri na watoto wako na hakuna anaekuuliza
Hakika ni wivu tena wa kimaskiniDah! Yani kodi zetu wenyewe na serikali yetu halafu sie tena tunaambiwa tuna wivu kana kwamba hapa tunamzungumzia Bakhresa.
Nitaiweka Mkuu,Ndo naikamilisha ilakwa ufupi Primary Skuli ya Paje,Sekondari Mwanakwerekwe,Chuo cha Pumwani Cheti cha uhazili.Uzoefu wa kazi miaka 18.Weka yako kwanza mkuu.