Abdul mwana wa Rais Samia yuko nchini India kwenye msafara wa Rais

Abdul mwana wa Rais Samia yuko nchini India kwenye msafara wa Rais

Mtoto wa Rais ,muhimu kutambulishwa kwa wakubwa
 
Attachments

  • Kikwete-1.jpg
    Kikwete-1.jpg
    24.8 KB · Views: 4
Obama alikuwa anasafiri na watoto wake mpaka mama mkwe wake wakati mwingine,

Japo sir100 anakera ila kwa hapa wala sijaona baya, na kumtambulisha hapo kuna maana kubwa sana kwa watu wanaoangalia mambo kwa jicho la tatu, kilaza hawezi kuelewa, hakukuwa na ulazima wa kutambulishwa ila katambulishwa, kilaza hawezi elewa kwa nn.
 
Akihutubia katika chuo kimoja huko India JAWAHARLAL NEHRU UNIVERSITY, nchini India Rais amemsimamisha na kumtambulisha mwanae wa tatu Abdul kwenye mkutano huo.

Ikumbukwe kuwa mwana huyu alionekana akiwakilisha nchi kwenye mkutano mmoja na Rais wa nchi ya Uganda mh Yoweri Museveni na sasa kaandamana na ujumbe wa Rais nchini India.

Huyu mwana ana wadhifa gani ndani ya serikali ya Muungano wa Tanzania? Naamini haya ni maswali yasiyoepukika hasa kwa wanaolitakia mema Taifa hasa Kwa masuala ya utawala Bora na kulinda Rasilimali za Taifa .

View: https://youtu.be/fCKlJX19s6w?si=EKNnnJd2Gcag64N_

Salaam aleikhumu .

Mama anampambania mtoto wake ili aje kumpiku Ridhiwani kwenye safari ya matumaini ya kurithi kiti cha urais huko mbeleni.

Kama huamini hicho nilichokisema, tunza hii post halafu siku moja utakuja kuniambia.
 
Pesa za kodi za wadanganyika zinatafunwa mbayaaa!.
Kwa kodi gani unayolipa wewe mzululaji .kwani mtoto wa Rais unafikiri hawezi kujilipia nauli? Watanzania wangapi wanakwenda India kwa nauli zao? Kama wanafunzi tu wanafika India iweje na ishindikane vipi kwa mtoto wa Rais kufika India?
 
Sikiliza wewe uliyekosa adabu na mwenye akili ya kiuwendawazimu. Huwezi ukaelewa kitu kutokana na umbumbumbu wako

Kwanini umeanza lugha chafu?
Ukiwa wa aina yako umeamua humu JF lazima uwe mgumu kama chuma.. kuanza kutukana inaonyesha unayoyafanya sio burudani Bali hasira ya malengo Yako kutotimia hadi leo...

Punguza hasira bali burudika
 
Kwani mtoto wa Rais kuwepo mahali hapo ambapo mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania alikuwa anatunukiwa udaktari wa heshima amevunja sheria ipi? Kifungu kipi cha katiba kimevunjwa cha yeye kushuhudia mama yake na Rais wetu akipata na kupewa heshima hiyo ya kipekee inayotokana na utumishi wake na uchapakazi wake uliotukuka kwa Taifa letu? Acheni wivu na chuki zisizo na sababu.Tujikite kwenye mambo ya msingi na siyo umbea umbea tu yenye mawazo ya chuki.
Uliandika cha maana. Hapa unastahili pongezi 👍🏾
 
Bibi lenu Lina kiingereza kibovu yaani empty headed purely. Huyu ndio apitishwe na CCM 2025 over my dead body, CCM haijaoza kiasi hicho, my third born, there two a head of him, hovyo kabisa
Unaonekana mtu wa masifa sana na huna akili! Utumwa na ufinyu wa mawazo unakukabili... POLE SANA!
 
Kwani mtoto wa Rais kuwepo mahali hapo ambapo mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania alikuwa anatunukiwa udaktari wa heshima amevunja sheria ipi? Kifungu kipi cha katiba kimevunjwa cha yeye kushuhudia mama yake na Rais wetu akipata na kupewa heshima hiyo ya kipekee inayotokana na utumishi wake na uchapakazi wake uliotukuka kwa Taifa letu? Acheni wivu na chuki zisizo na sababu.Tujikite kwenye mambo ya msingi na siyo umbea umbea tu yenye mawazo ya chuki.
Kama hilo la Rais kuambatana na mwanae kwenye ziara zake kumtambulisha sio jambo la msingi basi mwambie Rais afanye mambo ya msingi aachane na mambo yasiyo ya msingi kama hayo ya kusafiri na familia yake kwenye ziara zake.
 
Mleta mada ulisikiliza vema hotiba yake? Je hukusikia akimtaja kama ni mwananfunzi / alikuwa ni mwananfunzi katika chuo hiko?
Sio kila kitu ni cha kukosoa au kuzozomokea.

Kwani kuna zuio kusafiri na familia?
 
Akihutubia katika chuo kimoja huko India JAWAHARLAL NEHRU UNIVERSITY, nchini India Rais amemsimamisha na kumtambulisha mwanae wa tatu Abdul kwenye mkutano huo.

Ikumbukwe kuwa mwana huyu alionekana akiwakilisha nchi kwenye mkutano mmoja na Rais wa nchi ya Uganda mh Yoweri Museveni na sasa kaandamana na ujumbe wa Rais nchini India.

Huyu mwana ana wadhifa gani ndani ya serikali ya Muungano wa Tanzania? Naamini haya ni maswali yasiyoepukika hasa kwa wanaolitakia mema Taifa hasa Kwa masuala ya utawala Bora na kulinda Rasilimali za Taifa .

View: https://youtu.be/fCKlJX19s6w?si=EKNnnJd2Gcag64N_

Salaam aleikhumu .

Kuna dhambi mama kumtabulisha mwanaye
 
Huo ni wivu wa kipuuzi sana kwani Samia kuwa rais amekatazwa kusafiri na watoto wake? ,Mtu akiwa rais ana haki ya kuishi na kusafiri na familia yake kokote aendako kama ambavyo hata wewe unasafiri na watoto wako na hakuna anaekuuliza
Dah! Yani kodi zetu wenyewe na serikali yetu halafu sie tena tunaambiwa tuna wivu kana kwamba hapa tunamzungumzia Bakhresa.
 
Back
Top Bottom