Abdul mwana wa Rais Samia yuko nchini India kwenye msafara wa Rais

Abdul mwana wa Rais Samia yuko nchini India kwenye msafara wa Rais

Akihutubia katika chuo kimoja huko India JAWAHARLAL NEHRU UNIVERSITY, nchini India Rais amemsimamisha na kumtambulisha mwanae wa tatu Abdul kwenye mkutano huo.

Ikumbukwe kuwa mwana huyu alionekana akiwakilisha nchi kwenye mkutano mmoja na Rais wa nchi ya Uganda mh Yoweri Museveni na sasa kaandamana na ujumbe wa Rais nchini India.

Huyu mwana ana wadhifa gani ndani ya serikali ya Muungano wa Tanzania? Naamini haya ni maswali yasiyoepukika hasa kwa wanaolitakia mema Taifa hasa Kwa masuala ya utawala Bora na kulinda Rasilimali za Taifa .



View: https://youtu.be/fCKlJX19s6w?si=EKNnnJd2Gcag64N_




Salaam aleikhumu .

Huyu ndiye aliyeshirikiana na waziri wa mambo ya ndani kuiba mabilioni ya kodi zetu. Kila hi kashfa inapoletwa hapa jf mods huifuta haraka
 
Kwani mtoto wa Rais kuwepo mahali hapo ambapo mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania alikuwa anatunukiwa udaktari wa heshima amevunja sheria ipi? Kifungu kipi cha katiba kimevunjwa cha yeye kushuhudia mama yake na Rais wetu akipata na kupewa heshima hiyo ya kipekee inayotokana na utumishi wake na uchapakazi wake uliotukuka kwa Taifa letu? Acheni wivu na chuki zisizo na sababu.Tujikite kwenye mambo ya msingi na siyo umbea umbea tu yenye mawazo ya chuki.
Kwenye video nimemuona William Lukuvi akitabasamu KINAFIKI baada ya rais kumtambulisha mwanae. Historian inaonyesha Lukuvi ni mtu anaewachukia sana wazanzibari kutokana na ukereketwa wake wa mfumo kristo wa kikatoliki.
 
Mimi sioni kama ni issue sana ya kujadili,Rais ndiye mtawala na huyo ni damu yake na ameamua kuambatana na mwanaye ziarani.
 
Vizuri kula na nduguzo
Charity begins at home.
Sema Kwa taratibu za kwetu, mwanamke hatakiwa kusafiri peke yake bila *'Maharim' wake.
MAA SHAA ALLAAH! Umenifurahisha kutaja sharia ya kutosafiri bila MAHARIM. Lakini wanasiasa siyo watu wazuri. Sharia iliyokataza mwanamke kusafiri bila MAHARIM u hiyohiyo imekataza mwanamke kuongoza wanaume. (ما أفلح قوم ولوا أمرهم امرأة)
"Hawatafanikiwa watu ambao mambo Yao wamemtawalisha mwanamke"
 
Mwenye CV ya Abduli Suluhu Ailete hapa then tumuache aendelee kuufurahia Urais wa Mama yake.
Kumuita Abdul Suluhu ni tusi! Huyo ana baba yake Mzee Hafidh Ameir kwahiyo muite "Abdul Hafidh Ameir" mtoto wa ndani ya ndoa ni tusi kumnasibisha na wajomba zake.
 
MAA SHAA ALLAAH! Umenifurahisha kutaja sharia ya kutosafiri bila MAHARIM. Lakini wanasiasa siyo watu wazuri. Sharia iliyokataza mwanamke kusafiri bila MAHARIM u hiyohiyo imekataza mwanamke kuongoza wanaume. (ما أفلح قوم ولوا أمرهم امرأة)
"Hawatafanikiwa watu ambao mambo Yao wamemtawalisha mwanamke"
Mkuu kama una point vile, hebu weka vizuri kidogo
 
Haujaniconvince mkuu. Huu utoporo utaukuta Africa. Acha kuwa mtoto wa Rais nchi zinazojitambua hata ukienda interview ya kazi kuna kipengele kama kuna relationship na mfanyakazi yeyote kwenye organization . Huyo Abdul akienda Uganda nani anafanya checking ya hiyo conflict. Viongozi wa kiafrika wanakiwa affected na umasikini waliopitia katika life time ndo maana hawarudhiki.
Mtoto wa Trump amaitwa ivanka Trump alikuwa chief Advisor wa baba yake pale white house ikulu ya Marekani yeye pamoja na mume wake jared kushner
 
sasa ulitaka asiwepo wakati mama yake anapewa udaktari wa heshima?
 
Sindano ikuingie na ufala wako
Fala Baba'ako aliyekuacha na misongo ya mawazo unakuja kutapika uzwazwa dhidi ya watu ambao walitengenezewa maisha na Baba na Mama zao.

Wewe mwenye kiingereza chenye kunyooka uko wapi?! Kutwa kulalamikia uongozi... ukipewa na hicho kiingereza chako utafanya nini?! Tafuta basi njia ufike hapo halafu tuone positivity iliyochangiwa na hicho kizungu chako kenge wewe!

Hujachelewa CHOKO MALAYA WEWE! andaa maisha wanao wasije kuwa na kazi ya kujadili watu baadae mitaani na mitandaoni kama wewe.

Kama inakuuma andika barua imuendee rais kama wewe kweli mwanaume una pumbu zinazofanya kazi sawasawa. UKISHINDWA WE SHOGA!

THUBUTU SASA TUKUONE 😀
 
Back
Top Bottom