where did you take this from?Abel alikua na Pacha wa kike, akaoa huyo Pacha wake, na Kaini alikua nae ana Pacha akaoa huyo! Kilichofanyika ni kutowaandika wanawake Majina yao, ndio ulivyokua utamaduni wa Wakati wao. Zamani ulikua unazaliwa na mkeo au mmeo.
Ur rightMkuu wakati nilipojiuliza hili swali, niliona nadharia ya uumbaji ni uongo...Kama chanzo cha watu ilikuwa Eden, ni teknolojia ipi iliyotumika kusambaza watu kwenda mabara mengine? watu walifikaje Peru, Chile Madagascar na maeneo mengine ya mbali na Eden?
Kama walisafiri kutoka Eden, kwanini wasingekuwa wanawasiliana kwa safari mbali mbali? kwanini Columbus aseme aligundua Dunia mpya?....Kuna uwezekano wa binadamu kutokuwa na chanzo kimoja.
Hahahahaaa...Its when you get to realize that people are worshiping hallucinations of other's minds....I think people created GOD and not its vice versa as we used to know.where did you take this from?
Hivi wewe ulikua unajua kwenye dunia hii kuna mtu anaitwa MAHARAGE YA UKWENI?Kichwa chako nikipeleke wapi?
Mmezoea kuchinja watu kama hao Boko haram na ISIS?
Ndio hivyo mlivyoagizwa?
Thibitisha kwanza kama Allah yupo.....je umewahi kumuona, kumsikia, kumhisi?....unaabuduje kitu usichokuwa na uhakika juu ya uwepo wake?
Mimi nimjue MAHARAGE YA UKWENI ili iweje?Hivi wewe ulikua unajua kwenye dunia hii kuna mtu anaitwa MAHARAGE YA UKWENI?
Ukijibu swali hili wewe kidume
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]leta jibu acha porojoo
Mkuu tumia common sense hizo races zote lazima ziwe na distinct tofauti au unaweza eleza kisayansi mwafrika natokanaje na mzungu au mzungu anatokaje kwa mwafrika kama source yetu ni adam na eve tu.Mfano...
Mkuu hivi vitabu vya dini vinaacha maswali mengi sana mpaka tunatilia shaka uhalali wake.Hahahahaaa...Its when you get to realize that people are worshiping hallucinations of other's minds....I think people created GOD and not its vice versa as we used to know.
Tatizo viliandikwa na watu wenye akili fupi ila tunaambiwa Mungu mwenye ujuzi wote ndiye aliyeandika....Sasa unapouliza iweje Mungu mwenye ujuzi na maarifa yote aandike utumbo? wafia dini wanaingilia kati kumtetea, na wao wanapata changamoto sana ya kutetea huo urojo.Mkuu hivi vitabu vya dini vinaacha maswali mengi sana mpaka tunatilia shaka uhalali wake.
aliumbaje watu wengi?
kama ina make senseMmmh hapo ndo kazi ipi.
Mi nadhan kulikua na watu wengi tu ila almaarufu walikua adamna hawa. ..[emoji16][emoji16]
kumbuka pia alipoondoka kwao,aliwekewa alama ili kila atakaemdhuru Cain,laana imwangukie,so unajiuliza kumbe palikuwepo na watu huko nchi ya NodiNdio maana nikasema ulikuwa uongo,....kama huyo mwanamke alikuwa ndugu wa Cain angempatia pale pale nyumbani kwao.Lakini Cain alimpata baada ya kufukuzwa kwao....sasa huyo mwanamke alizaliwa wapi?
Sasa nani aliyeumba hao watu wengine?....kumbe maandiko yanakubali kuwa sii kila mtu aliumbwa na Mungu?kumbuka pia alipoondoka kwao,aliwekewa alama ili kila atakaemdhuru Cain,laana imwangukie,so unajiuliza kumbe palikuwepo na watu huko nchi ya Nodi
Kwa wakati huo ilikuwa ruksa ndugu kuoana,baadae ndo ikakatazwa,yakaja na magonjwa ya kurithi hali ikawa tete.
weka ukatili mmoja hapa tuone.....uliojaa ukatili uongo na ujinga wa kutosha?
Baadaye magonjwa haya Mungu aliyaleta baada ya dhambi na maasi kuwa mengi,hasa baada ya sodoma na gomora ambapo majitu yalitaka mpaka kuwala 0713 malaika walotumwa kwa Luthu,Mungu akaamua kuyashusha hayo magonjwa na baadaye ikaja sheria ,ole wake yule alalaye na umbu wake.