Abel na Kaini (kizazi cha Adamu na Hawa); Je, wake zao ni kizazi cha nani?

Abel na Kaini (kizazi cha Adamu na Hawa); Je, wake zao ni kizazi cha nani?

Abel alikua na Pacha wa kike, akaoa huyo Pacha wake, na Kaini alikua nae ana Pacha akaoa huyo! Kilichofanyika ni kutowaandika wanawake Majina yao, ndio ulivyokua utamaduni wa Wakati wao. Zamani ulikua unazaliwa na mkeo au mmeo.
where did you take this from?
 
Mkuu wakati nilipojiuliza hili swali, niliona nadharia ya uumbaji ni uongo...Kama chanzo cha watu ilikuwa Eden, ni teknolojia ipi iliyotumika kusambaza watu kwenda mabara mengine? watu walifikaje Peru, Chile Madagascar na maeneo mengine ya mbali na Eden?

Kama walisafiri kutoka Eden, kwanini wasingekuwa wanawasiliana kwa safari mbali mbali? kwanini Columbus aseme aligundua Dunia mpya?....Kuna uwezekano wa binadamu kutokuwa na chanzo kimoja.
Ur right
 
where did you take this from?
Hahahahaaa...Its when you get to realize that people are worshiping hallucinations of other's minds....I think people created GOD and not its vice versa as we used to know.
 
Kichwa chako nikipeleke wapi?

Mmezoea kuchinja watu kama hao Boko haram na ISIS?

Ndio hivyo mlivyoagizwa?

Thibitisha kwanza kama Allah yupo.....je umewahi kumuona, kumsikia, kumhisi?....unaabuduje kitu usichokuwa na uhakika juu ya uwepo wake?
Hivi wewe ulikua unajua kwenye dunia hii kuna mtu anaitwa MAHARAGE YA UKWENI?
Ukijibu swali hili wewe kidume
 
Hivi wewe ulikua unajua kwenye dunia hii kuna mtu anaitwa MAHARAGE YA UKWENI?
Ukijibu swali hili wewe kidume
Mimi nimjue MAHARAGE YA UKWENI ili iweje?

Hanisaidii wala simsaidii chochote.

Pia siyo lazima kwangu kuwajua watu wote 7bn+ hapa duniani.
 
Mkuu tumia common sense hizo races zote lazima ziwe na distinct tofauti au unaweza eleza kisayansi mwafrika natokanaje na mzungu au mzungu anatokaje kwa mwafrika kama source yetu ni adam na eve tu.
 
Hahahahaaa...Its when you get to realize that people are worshiping hallucinations of other's minds....I think people created GOD and not its vice versa as we used to know.
Mkuu hivi vitabu vya dini vinaacha maswali mengi sana mpaka tunatilia shaka uhalali wake.
 
Mkuu hivi vitabu vya dini vinaacha maswali mengi sana mpaka tunatilia shaka uhalali wake.
Tatizo viliandikwa na watu wenye akili fupi ila tunaambiwa Mungu mwenye ujuzi wote ndiye aliyeandika....Sasa unapouliza iweje Mungu mwenye ujuzi na maarifa yote aandike utumbo? wafia dini wanaingilia kati kumtetea, na wao wanapata changamoto sana ya kutetea huo urojo.
 
Ukifaatilia habari ya adamu na hawa inaonekani ni story ya karibuni mno,
wakati kuna history kwa mfano huko america kusini kuna jamii zilikuwepo miaka 50,000 iliyopita
aliumbaje watu wengi?
 
Kwa wakati huo ilikuwa ruksa ndugu kuoana,baadae ndo ikakatazwa,yakaja na magonjwa ya kurithi hali ikawa tete.
 
Ndio maana nikasema ulikuwa uongo,....kama huyo mwanamke alikuwa ndugu wa Cain angempatia pale pale nyumbani kwao.Lakini Cain alimpata baada ya kufukuzwa kwao....sasa huyo mwanamke alizaliwa wapi?
kumbuka pia alipoondoka kwao,aliwekewa alama ili kila atakaemdhuru Cain,laana imwangukie,so unajiuliza kumbe palikuwepo na watu huko nchi ya Nodi
 
kumbuka pia alipoondoka kwao,aliwekewa alama ili kila atakaemdhuru Cain,laana imwangukie,so unajiuliza kumbe palikuwepo na watu huko nchi ya Nodi
Sasa nani aliyeumba hao watu wengine?....kumbe maandiko yanakubali kuwa sii kila mtu aliumbwa na Mungu?
 
Kwa wakati huo ilikuwa ruksa ndugu kuoana,baadae ndo ikakatazwa,yakaja na magonjwa ya kurithi hali ikawa tete.

Duh.

So wakati huo wa Kaini na Abeli magonjwa ya urithi hayakwepo? Ilikuwaje yakaja kutokea na yalitokeaje kama hayakwepo mwanzo?

Au I guess kulikuwa na radioactive materials kama nuclear kuleta genetic mutation.

Mhh! Hivi Na magonjwa kama
deletion syndrome
Angelman syndrome
Canavan disease
Charcot–Marie–Tooth disease
Color blindness
Cri du chat
Cystic fibrosis
Down syndrome
Duchenne muscular dystrophy
Haemochromatosis
Haemophilia
Klinefelter syndromes
Neurofibromatosis
Phenylketonuria
Polycystic kidney disease
Prader–Willi syndrome
Sickle-cell disease
Spinal muscular atrophy
Tay–Sachs disease
Turner syndrome

Na albinism ambazo hutokea kwa kuridhi zilianza kwa uzao wa nani na zilianzaje kama wazazi walikuwa hawana?
 
Baadaye magonjwa haya Mungu aliyaleta baada ya dhambi na maasi kuwa mengi,hasa baada ya sodoma na gomora ambapo majitu yalitaka mpaka kuwala 0713 malaika walotumwa kwa Luthu,Mungu akaamua kuyashusha hayo magonjwa na baadaye ikaja sheria ,ole wake yule alalaye na umbu wake.
 
Unataka kusema na Albinism ni laana aliyoleta mungu na mwanzoni haikwepo?

Duh!
 
Mwanzoni albinism haikuwepo ila kuhusu laana hata hapo juu sijasema.Tukubsliane tu kwamba Mungu alipokasirika ndo akaleta magonjwa ili kumfanya mwanadaam awe na hofu ya Mungu.
 
Back
Top Bottom