Abiria wa mabasi ya kwenda Kigoma wako tofauti na mikoa migine

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Nimebahatika kutembea mikoa mingi Tanzania hii. Nikiri tu kwamba Kigoma abiria wake wako vizuri.

Mabasi yao ni masafi, abiria wastaarabu, wasafi, wanawaka, wanang'ara utadhani uko kwa malkia Elizabeth abiria wananukia vizuri, mabasi full luxury first class choo ndani. Utatamani usifike

Hawali ovyo ovyo njiani, pisi kali zote ziko hiyo route, sijawahi kusikia mabasi yao yana kunguni.

Tuwaige wanakigoma
 
Au Kuna kigoma nyingine??? Syo ninayoijua Mimi
 
The reverse is also true....
 
Naona umeamua kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa
 
Asante kwa kutumia tafsida mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…