isayaj
Senior Member
- May 10, 2022
- 153
- 146
kigoma ya Tanzania au IP[emoji1787][emoji1787]Nimebahatika kutembea mikoa mingi Tanzania hii.
Nikiri tu kwamba Kigoma abiria wake wako vizuri.
Mabasi yao ni masafi, abiria wastaarabu, wasafi, wanawaka, wanang'ara utadhani uko kwa malkia elizabeth.abiria wananukia vizuri,mabasi full luxury first class choo ndani.
Utatamani usifike
Hawali ovyo ovyo njiani, pisi kali zote ziko hiyo route, sijawahi kusikia mabasi yao yana kunguni.a
Tuwaige wanakigoma