Abiria wa mabasi ya kwenda Kigoma wako tofauti na mikoa migine

Watu wanaosema mkoa wa kigoma una vumbi jekundu hivi mlishawahi kufika Karatu arusha? Au huko Mburu mjionnee hali ilivyo?
Stop bein Hypocrisy, it won't get you anywhere
Karatu siyo mkoa ni eneo dogo sana ndani ya mkoa wa Ars
 
Nimebahatika kutembea mikoa mingi Tanzania hii

Nikiri tu kwamba Kigoma abiria wake wako vizuri

Mabasi yao ni masafi,abiria wastaarabu,wasafi,wanawaka,wanang'ara utadhani uko kwa malkia elizabeth.
Hawali ovyo ovyo njiani,pisi kali zote ziko hiyo route,
Sijawahi kusikia mabasi yao yana kunguni
Tuwaige wanakigoma
Niliisafiri toka kasulu kwenda Mwanza nikashuka nikaingia mtaani kwenye kijiwe kimoja bodaboda wakawa wanakataa kunibeba wanadhani ni kichaa wa Town anadhurura siyo kwa vumbi lile jamanii kigoma noma.😁😁
 
Wee muha umekuja kujipigia promo humu? yale mabishano yenu ya kuhusu dereva wa treni kuwa chuma bado yanaendelea?
 
Nimebahatika kutembea mikoa mingi Tanzania hii.

Nikiri tu kwamba Kigoma abiria wake wako vizuri.

Mabasi yao ni masafi, abiria wastaarabu, wasafi, wanawaka, wanang'ara utadhani uko kwa malkia elizabeth.abiria wananukia vizuri,mabasi full luxury first class choo ndani.
Utatamani usifike

Hawali ovyo ovyo njiani, pisi kali zote ziko hiyo route, sijawahi kusikia mabasi yao yana kunguni.a

Tuwaige wanakigoma
Hapo umeongea kinyume chake, Waha ni wachafu kishenzi, sio kwa maisha ya safarini tu hata akiwa nyumbani ni balaa, inabidi uwe na moyo mgumu kula nyumbani kwa Muha
 
Mwakeye ???
 
Nafikiri ni umasikini, Kigoma wilaya zake karibu zote hazijaunganishwa kwa lami, Kibondo umeme umefika juzi mwaka 2010 serikali iliwatupa sana
 
Nimebahatika kutembea mikoa mingi Tanzania hii.

Nikiri tu kwamba Kigoma abiria wake wako vizuri.

Mabasi yao ni masafi, abiria wastaarabu, wasafi, wanawaka, wanang'ara utadhani uko kwa malkia elizabeth.abiria wananukia vizuri,mabasi full luxury first class choo ndani.
Utatamani usifike

Hawali ovyo ovyo njiani, pisi kali zote ziko hiyo route, sijawahi kusikia mabasi yao yana kunguni.a

Tuwaige wanakigoma
Matusi ya kiaskofu haya🤣🤣🤣
 
Alafu wote waliojazana kwenye magari,ni wakopeshaji vitu...😄😄😄😄😄
 
Kati ya safari mbaya kusafiri na kuchukia ni Mwanza-Kigoma yaani unaanza kupachukia Kigoma kabla ya kufika Kigoma,
Gari zao ni 3 by 2 magari ni mabaya aisee, watu wanapiga kelele yaani mtu amekaa seat nyuma anapiga story na mtu aliekaa seat ya mbele,

Wanakula kila aina ya misosi inayokuja mbele yao, tulivyofika kibondo wanauza karanga, mihogo ya kuchoma, viazi wanakula Sana wengine wanapika ugali asubuhi kabla ya safari.
Huwezi kusafiri kwa raha ukiwa unaenda Kigoma kule ni into the badland
 
Nimebahatika kutembea mikoa mingi Tanzania hii.

Nikiri tu kwamba Kigoma abiria wake wako vizuri.

Mabasi yao ni masafi, abiria wastaarabu, wasafi, wanawaka, wanang'ara utadhani uko kwa malkia elizabeth.abiria wananukia vizuri,mabasi full luxury first class choo ndani.
Utatamani usifike

Hawali ovyo ovyo njiani, pisi kali zote ziko hiyo route, sijawahi kusikia mabasi yao yana kunguni.a

Tuwaige wanakigoma
Mzee umeamua kutumia a figure of speech (irony) katika kufikisha ujumbe wako.
Haya bwana, umesomeka.
 
Nimebahatika kutembea mikoa mingi Tanzania hii.

Nikiri tu kwamba Kigoma abiria wake wako vizuri.

Mabasi yao ni masafi, abiria wastaarabu, wasafi, wanawaka, wanang'ara utadhani uko kwa malkia elizabeth.abiria wananukia vizuri,mabasi full luxury first class choo ndani.
Utatamani usifike

Hawali ovyo ovyo njiani, pisi kali zote ziko hiyo route, sijawahi kusikia mabasi yao yana kunguni.a

Tuwaige wanakigoma
Angalau umetumia tafsida kuwaongelea waha, tena sio wabishi
 
Back
Top Bottom