Abiria wa mabasi ya kwenda Kigoma wako tofauti na mikoa migine

Watu wanaosema mkoa wa kigoma una vumbi jekundu hivi mlishawahi kufika Karatu arusha? Au huko Mburu mjionnee hali ilivyo?
Stop bein Hypocrisy, it won't get you anywhere
Karatu siyo mkoa ni eneo dogo sana ndani ya mkoa wa Ars
 
Niliisafiri toka kasulu kwenda Mwanza nikashuka nikaingia mtaani kwenye kijiwe kimoja bodaboda wakawa wanakataa kunibeba wanadhani ni kichaa wa Town anadhurura siyo kwa vumbi lile jamanii kigoma noma.😁😁
 
Wee muha umekuja kujipigia promo humu? yale mabishano yenu ya kuhusu dereva wa treni kuwa chuma bado yanaendelea?
 
Hapo umeongea kinyume chake, Waha ni wachafu kishenzi, sio kwa maisha ya safarini tu hata akiwa nyumbani ni balaa, inabidi uwe na moyo mgumu kula nyumbani kwa Muha
 
Mwakeye ???
 
Hapo umeongea kinyume chake, Waha ni wachafu kishenzi, sio kwa maisha ya safarini tu hata akiwa nyumbani ni balaa, inabidi uwe na moyo mgumu kula nyumbani kwa Muha
Nafikiri ni umasikini, Kigoma wilaya zake karibu zote hazijaunganishwa kwa lami, Kibondo umeme umefika juzi mwaka 2010 serikali iliwatupa sana
 
Matusi ya kiaskofu haya🀣🀣🀣
 
Alafu wote waliojazana kwenye magari,ni wakopeshaji vitu...πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kati ya safari mbaya kusafiri na kuchukia ni Mwanza-Kigoma yaani unaanza kupachukia Kigoma kabla ya kufika Kigoma,
Gari zao ni 3 by 2 magari ni mabaya aisee, watu wanapiga kelele yaani mtu amekaa seat nyuma anapiga story na mtu aliekaa seat ya mbele,

Wanakula kila aina ya misosi inayokuja mbele yao, tulivyofika kibondo wanauza karanga, mihogo ya kuchoma, viazi wanakula Sana wengine wanapika ugali asubuhi kabla ya safari.
Huwezi kusafiri kwa raha ukiwa unaenda Kigoma kule ni into the badland
 
Mzee umeamua kutumia a figure of speech (irony) katika kufikisha ujumbe wako.
Haya bwana, umesomeka.
 
Angalau umetumia tafsida kuwaongelea waha, tena sio wabishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…