Abiria wa mabasi ya kwenda Kigoma wako tofauti na mikoa migine

kigoma ya Tanzania au IP[emoji1787][emoji1787]
 
Ahaa nilipanda basi linaitwa Takbir nikashangaa basi zima kinacheka kasoro mimi kumbe ji muvi za mkojani
 
Nafikiri ni umasikini, Kigoma wilaya zake karibu zote hazijaunganishwa kwa lami, Kibondo umeme umefika juzi mwaka 2010 serikali iliwatupa sana
Hata mkoloni aliwatenga sana hawa ndugu zetu
 
Dah mkuu naona umeongea kinyume tu hapo

Sema kigoma kunavumbi lakin wanatoka wasafi
 
Change your mindset talk globally mkuu na sio unafanya comparison za ndani ya nchi yenu. Ni sawa unafanya pale nyumbani kwenu kuwa unajua kutumia jf Ila Kaka yako hajui. Think big usiwe enclosed within a small space
 
the opposite might be true.
 
Kigoma na Singida inaongoza kwa watu wake kuwa mandimakuwili na wanafiki.nadhani ni sababu ya umasikini.
Kuna sehemu moja nilikuwa naishi mwanzoni nilipata tabu sana kuwaelewa.....ila nilivyowajua hawakunipa shida...unaongea na mtu jambo mnakubaliana na anakubali kabisa ila ukimpa mgongo tu sahau maana ndio yake mara nyingi humaanisha sio...wanajiita WAHAMBWE
 
Kwa vumbi hakuna sehemu inaizidi Karatu, Arusha kwa hapa Tanzania. Vumbi la Karatu ni pure powder haujachanganyika na mchanga kama Kigoma. Kinachofanya Karatu isisemwe ni kuwa kuna maendeleo kitambo kuliko Kigoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…