Abiria wa Pugu anafuata nini kwenye SGR kama sio upigaji

β€œBlack people cannot rule themselves because they don’t have the brain and mental capacity to govern a society … Give them guns, they would kill themselves; Give them power, they will steal all the government money; Give them independence and democracy; they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings, and wars!”

By PW BHOTA
 
Nimejua nasumbuka na kifuu juu ya shingo. Acha nitulie.
 
Wana ile ya mwakyembe wapande
 
Staff nzima ya TRC kuanzia Bodi ya wakurugenzi na Mkurugenzi wake mkuu wapigwe chini au wafunguliwe mashitaka ya uhujumu uchumi! Hivi inaingia akilini train ya masafa marefu kupakia abiria wa buku? (1,000/=) kweli? Hawa watu wana akili au matope? Kwani daladala za gongolamboto hawazioni? Yaani train inayoenda speed ya 160km/saa iwe inasimama na kushusha abilia kila baada ya akika 5 au 10? Alafu bila aibu wanakuja kwenye hadhira na vyombo vya habari eti hao abilia wa buku wanasafiri hadi Dodoma/Morogoro kwa buku? Real? Mradi wa SGR umegharimu trillions za hela ya walipa kodi na madeni na riba juu alafu wajinga na mapunguani wanataka kuuharibu? Watanzania nani katuloga? Hivi unaweza kwenda Magufuli Bus terminal ukapanda basi la kwenda Dodoma ukawapa buku wakushushe kibaha wakakubali? Mambo mengine yanatia hasira?
 
Hao wa Pugu Wawazindulie kiberenge(kile kilichokaa kama kichanja) kinawatosha.
 
Hao wa Pugu serikali ingewafungulia Kiberenge(kile kilichokaa kama trekta/kichanja/ist) kinawatosha, hata wasilipe au walipe wakifika maana ni roho mkononi kufika ni majaaliwa, hata wale wa kafara watapatikana humo humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…